Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Si unajua siku zOte bibi harusi huwa mrembo.. mtafute siku ya 3 baada ya harusi kama hujakimbia

Mmhhhhh make up ni nyoko wallah na huo wanja wa kuchora aisee ikifika asubuhi unaweza mkimbia mtu ukadhan umebadilishiwa mke
 
Mbona mama ubaya hayupo? Hiyo harusi ndomo anajua au ndo wamefungia chumbani? Mmh huyo pet nae kichwa ka tak+ la nguruwe aende zake eti mme wa mtu, mme wa mtu my foot, izi ndoa sasa zimekuwa too much, serikali iingilie kati aiseeh maana mpaka manyani siku izi wanaoana khaa lazima tuandame kwa kwel
 
Hhhhhaaaaaaaaaaa unanipa raha aisee, yupo wema ndoa zimeingiliwaaa
 
Mbona mama ubaya hayupo? Hiyo harusi ndomo anajua au ndo wamefungia chumbani? Mmh huyo pet nae kichwa ka tak+ la nguruwe aende zake eti mme wa mtu, mme wa mtu my foot, izi ndoa sasa zimekuwa too much, serikali iingilie kati aiseeh maana mpaka manyani siku izi wanaoana khaa lazima tuandame kwa kwel

Mama ubaya alikuwepo

Naona sikuhizi kaamua kuwa kimya baada ya midhalilisho isiyokoma ya baba ubaya
 
Uache kuni quote ungese wako punda wewe unanijua au unajishobokesha apa? Ebu katafute poti ukanye ukalale achana na mimi wewe

Si uniquote mie na wengine unaniboaa bana nawee,tujadili petit na bibi yake
 
Ushaanza si umuache usimqoute kuna ubuyu mpya umekazana na huyooo

Nshamuacha binamu yangu wa ukwee, twendelee na ubuyu wetu, leo mtaa wa pili naona kimya ila najua lazima tu watusome maana sisi ni kama maji humu, usipotuoga lazima utunywe
 
Back
Top Bottom