Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Apa sijui ndo walikuwa kwenye mahaba na wenyew hata haielewek maana bongo movie lolote linawezekana

Huyo rammy anajisikiaga, anajiona mzur yeye, hizo status zake sasa uko insta full kujisifia hadi anaboa, halafu hajuagi hata kuigiza, kuna siku uwoya alimchamba jamaa kuwa hajui kuigiza bora aache
 
Attachments

  • 1411161347827.jpg
    1411161347827.jpg
    38.4 KB · Views: 477
Kwa kumtazama tu usoni sioni akitoboa...
 
Kuna Kijana anajiita bikira wa kisukuma sijui, ndo nani huyo?? Nae ana pesa eeeh
 
Apa sijui ndo walikuwa kwenye mahaba na wenyew hata haielewek maana bongo movie lolote linawezekana

Huyo rammy anajisikiaga, anajiona mzur yeye, hizo status zake sasa uko insta full kujisifia hadi anaboa, halafu hajuagi hata kuigiza, kuna siku uwoya alimchamba jamaa kuwa hajui kuigiza bora aache

Hivi ni.msomali ee
 
Jamaa nmesoma nae advanced level, ni mtu mmoja charming na intelligent sana, he was a man of people. Kila mtu school alikuwa anamjua. Alisoma pcb na alifaulu akachaguliwa university but ni kama akina bil gate, alighairi for his passion, i.e kuwa a big celebrity through mass media. Huo ni mwanzo tu, wakati mie naenda kuanza md tuliweka covenant na jamaa , kuwa after ten years who eill be rich than the other

mbwembwe za kihay.
 
Last edited by a moderator:
TACAIDS wana kazi kweli maana hilo chain ni hatari,Rummy,Haidary,Wema,Penny,Diamond,Aunt Cheusidawa,Mcheza Show,Shishi baby,Mziwanda,Mkongoman,Wolper,Dalasi,Clement,Model wa video ya mbagala etc list ni ndefu
 
Nenda Jukwaa la lugha kiongozi,usimtafutie warumi ban,kama upo vizuri kukosoa mbona post za lugha ya kimombo haukosoi?

Kwa nia njema kabisa, post husomwa na wengi, wapo wanaojifunza Kiswahili pia, ni vema kuandika vizuri.

Kwa mfano: Unakuta mtu anaandika "sukali ina radha nzuli njoo apa sasa ivi huonje ufulahi na loho yako..." nk.

Hivi mtu ukijaribu kurekebisha utakuwa umefanya 'dhambi' kiasi cha kutukanwa!?

Typing error siyo tatizo, zinaeleweka, kufupisha maneno pia haina shida, mfano, Katika = ktk, nk.

Ila pia inakera sana mtu anapoandika "xana" badala ya "sana" na mifano yake.

Ukiandika kwa utani kwa mfano '... inategemea ntu na ntu..' pia hainikeri.

Kimombo sijui vizuri.

Naomba radhi kwa Warumi na wote nilio wakwaza.
 
Last edited by a moderator:
Chezeya edezen weye, wewe nawe ebu ntokee apa mbuta nanga ataolewa na nani mjini apa? Labda lemutuz ndo wataendana

Jamani Edzen kachukua kifaa,dida haingii hata adhikri uchi,towbaaaaa alikitupa watu wameokota.
 
Kwa nia njema kabisa, post husomwa na wengi, wapo wanaojifunza Kiswahili pia, ni vema kuandika vizuri.

Kwa mfano: Unakuta mtu anaandika "sukali ina radha nzuli njoo apa sasa ivi huonje ufulahi na loho yako..." nk.

Hivi mtu ukijaribu kurekebisha utakuwa umefanya 'dhambi' kiasi cha kutukanwa!?

Typing error siyo tatizo, zinaeleweka, kufupisha maneno pia haina shida, mfano, Katika = ktk, nk.

Ila pia inakera sana mtu anapoandika "xana" badala ya "sana" na mifano yake.

Ukiandika kwa utani kwa mfano '... inategemea ntu na ntu..' pia hainikeri.

Kimombo sijui vizuri.

Naomba radhi kwa Warumi na wote nilio wakwaza.

Hujakosea mpenzi wangu,kiswahili kina ladha nzuri kikiandikwa na kusomwa itakiwavyo,relax and take it easy.
 
Anaringa sana huyu dada, halafu ana dharau hatar, sijui angekuwa anaishi ulaya ingekuwaje

Binamu ndo kawa hivi huyu Dada namjua toka kitambo sana wala cyo mzuri alikua anapenda umjini Sana aisee Leo neo kawa hivi
 
Back
Top Bottom