Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Hili ndo gari analotembelea huyo rummy hawara wa julie dolls, nilimuona nalo leo maeneo ya mwenge
We jamaa ndo shigongo nini hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndo gari analotembelea huyo rummy hawara wa julie dolls, nilimuona nalo leo maeneo ya mwenge
Apa sijui ndo walikuwa kwenye mahaba na wenyew hata haielewek maana bongo movie lolote linawezekana
Huyo rammy anajisikiaga, anajiona mzur yeye, hizo status zake sasa uko insta full kujisifia hadi anaboa, halafu hajuagi hata kuigiza, kuna siku uwoya alimchamba jamaa kuwa hajui kuigiza bora aache
Jamaa nmesoma nae advanced level, ni mtu mmoja charming na intelligent sana, he was a man of people. Kila mtu school alikuwa anamjua. Alisoma pcb na alifaulu akachaguliwa university but ni kama akina bil gate, alighairi for his passion, i.e kuwa a big celebrity through mass media. Huo ni mwanzo tu, wakati mie naenda kuanza md tuliweka covenant na jamaa , kuwa after ten years who eill be rich than the other
Dinazarde umemuona edzen nae kafunga ndoa? Wapi mama wa ikulu aka shangingi la jiji, Mrembo by Nature, Mamaafacebook, Heaven Sent, ram, amu, mamakibunju, geniveros, princess sayuni, Matola, BADILI TABIA, TATIANA, lolowapi kujeni uku mpate ubuyu mpyaa
...apa = hapa.
Nenda Jukwaa la lugha kiongozi,usimtafutie warumi ban,kama upo vizuri kukosoa mbona post za lugha ya kimombo haukosoi?
Chezeya edezen weye, wewe nawe ebu ntokee apa mbuta nanga ataolewa na nani mjini apa? Labda lemutuz ndo wataendana
Ni ushamba tu wa wakilishi wa dstv tz kuchagua half cast kila mwaka,ina maana hao ndio wanaweza?mbona ghana,nigeria,uganda hawapeleki half cast?
Kwa nia njema kabisa, post husomwa na wengi, wapo wanaojifunza Kiswahili pia, ni vema kuandika vizuri.
Kwa mfano: Unakuta mtu anaandika "sukali ina radha nzuli njoo apa sasa ivi huonje ufulahi na loho yako..." nk.
Hivi mtu ukijaribu kurekebisha utakuwa umefanya 'dhambi' kiasi cha kutukanwa!?
Typing error siyo tatizo, zinaeleweka, kufupisha maneno pia haina shida, mfano, Katika = ktk, nk.
Ila pia inakera sana mtu anapoandika "xana" badala ya "sana" na mifano yake.
Ukiandika kwa utani kwa mfano '... inategemea ntu na ntu..' pia hainikeri.
Kimombo sijui vizuri.
Naomba radhi kwa Warumi na wote nilio wakwaza.
Anaringa sana huyu dada, halafu ana dharau hatar, sijui angekuwa anaishi ulaya ingekuwaje
Jamani Edzen kachukua kifaa,dida haingii hata adhikri uchi,towbaaaaa alikitupa watu wameokota.
Kaa utulie . muda si mrefu mtashuudia mtu akifumuliwa linda. maana nasikia eti Kadinda naye ali apply.