Zamda Ana hela Kama dida?
shida yako hela!?lo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamda Ana hela Kama dida?
Kwa nia njema kabisa, post husomwa na wengi, wapo wanaojifunza Kiswahili pia, ni vema kuandika vizuri.
Kwa mfano: Unakuta mtu anaandika "sukali ina radha nzuli njoo apa sasa ivi huonje ufulahi na loho yako..." nk.
Hivi mtu ukijaribu kurekebisha utakuwa umefanya 'dhambi' kiasi cha kutukanwa!?
Typing error siyo tatizo, zinaeleweka, kufupisha maneno pia haina shida, mfano, Katika = ktk, nk.
Ila pia inakera sana mtu anapoandika "xana" badala ya "sana" na mifano yake.
Ukiandika kwa utani kwa mfano '... inategemea ntu na ntu..' pia hainikeri.
Kimombo sijui vizuri.
Naomba radhi kwa Warumi na wote nilio wakwaza.
KWeli mpenzi
Dinazarde umemuona edzen nae kafunga ndoa? Wapi mama wa ikulu aka shangingi la jiji, Mrembo by Nature, Mamaafacebook, Heaven Sent, ram, amu, mamakibunju, geniveros, princess sayuni, Matola, BADILI TABIA, TATIANA, lolowapi kujeni uku mpate ubuyu mpyaa
Jamaa nmesoma nae advanced level, ni mtu mmoja charming na intelligent sana, he was a man of people. Kila mtu school alikuwa anamjua. Alisoma pcb na alifaulu akachaguliwa university but ni kama akina bil gate, alighairi for his passion, i.e kuwa a big celebrity through mass media. Huo ni mwanzo tu, wakati mie naenda kuanza md tuliweka covenant na jamaa , kuwa after ten years who eill be rich than the other
Aaaaah tutakukosa tena jameni, we mlie ganzi tu!!
usihukumu Kabla hujahukumiwa!!!!Maskini mtoto Wa kiislam anaenda kushiriki ushetani
Binamu nimeona kifaa cha Edzen Dida akalale mbele alikua anamzeesha tu kijana wa watu
Mbutananga na zile chupi alizotengeneza za I love u Edzen mweeeeeee
Alikuwa anazingua tu watu ile harusi alialikwa tu.. akasema alikuwa anataka aone watu watasemaje.
Binamu nimeona kifaa cha Edzen Dida akalale mbele alikua anamzeesha tu kijana wa watu
Mbutananga na zile chupi alizotengeneza za I love u Edzen mweeeeeee
Ahhaa
Binamu umeona gauni la lucy komba na viatu??
Hahaa binamu Cheusi dawa alikua ana haraka ya harusi hadi akasahau kuvaa vitu vya ukweee... lile sio gauni la harusi ni la kipaimara
Dah!! Uko insta anapata michambo ya haja, na yeye naona hayupo nyuma anajibu mapigo, dah, kweli hii ndoa ya mden mark imempa umaarufu wa ghafla