Idris wa BBA abakiza million 200

Pole mamii.Mimi napenda BMW kama lile la diamond.Yaani nikiliona nasimama kabisa!

mwe kweli tumetofautiana....mie hata halinishtui pita nalo tu....ila RANGE dah....acha tu.....hizi ndoto sijui nitazikamilisha ama ndiyo nitaota tu.....
 
mwe kweli tumetofautiana....mie hata halinishtui pita nalo tu....ila RANGE dah....acha tu.....hizi ndoto sijui nitazikamilisha ama ndiyo nitaota tu.....

Mimi RANGE kubwa sana kwangu.Mimi mwembamba na range wapi na wapi?Ile BMW ni habari nyingine bwana.
Ila,kipendacho roho .....
May our dreams come true!
 
Mimi RANGE kubwa sana kwangu.Mimi mwembamba na range wapi na wapi?Ile BMW ni habari nyingine bwana.
Ila,kipendacho roho .....
May our dreams come true!

Mi napenda v8,harrier hayo mengine hayanivutii kabisaaa
 
habari za umbea kama hizi mwanaume hazinihusu:banghead:
 
Umesahau kuweka hesabu ya verosa bro..
 
Shoga umemuona huyo tu?Mbona kuna wengine kila siku wanajitapa kua hawapendi hili jukwaa wanawaachia akina warumi lakini nashangaa tunabanana nao humuhumu!

Hili jukwaa ni inevitable hadi watu wa siasa wanapitamo huku kimya kimya ndio ushangae sasa
 
Mimi RANGE kubwa sana kwangu.Mimi mwembamba na range wapi na wapi?Ile BMW ni habari nyingine bwana.
Ila,kipendacho roho .....
May our dreams come true!

AMEN....

hahaaaa....dear sasa mie mwenyewe mwembamba.....nikiendesha nadhani watasema haka katoto kameiba gari ya baba yake.....kumbe....
 
Simpangii mtu na maisha yake wala mali yake....on my take angenunua eneo zuri tu maeneo goba ambako si mbali na mjini btw na kama angejenga tha same house huko goba kwa kuzingatia usimamizi mzuri angesave hela nyingi sana...kuliko hyo m 300 aliyotumia. Bado ana option ya kuuza lakn cz ita appreciate value. Perhaps hana washauri wazuri.

Kama ni biashara angenunua nyumba uswazi yenye vyumba vingi afanye guest house. Akisimamia goli mwenyewe kibishi hela inarudi in a few years nd he z sure kupata mkate wa kila siku and build a home from the revenues of that business. #MtazamoTu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…