Idris wa BBA abakiza million 200

Idris wa BBA abakiza million 200

Pole mamii.Mimi napenda BMW kama lile la diamond.Yaani nikiliona nasimama kabisa!

mwe kweli tumetofautiana....mie hata halinishtui pita nalo tu....ila RANGE dah....acha tu.....hizi ndoto sijui nitazikamilisha ama ndiyo nitaota tu.....
 
mwe kweli tumetofautiana....mie hata halinishtui pita nalo tu....ila RANGE dah....acha tu.....hizi ndoto sijui nitazikamilisha ama ndiyo nitaota tu.....

Mimi RANGE kubwa sana kwangu.Mimi mwembamba na range wapi na wapi?Ile BMW ni habari nyingine bwana.
Ila,kipendacho roho .....
May our dreams come true!
 
Mimi RANGE kubwa sana kwangu.Mimi mwembamba na range wapi na wapi?Ile BMW ni habari nyingine bwana.
Ila,kipendacho roho .....
May our dreams come true!

Mi napenda v8,harrier hayo mengine hayanivutii kabisaaa
 
habari za umbea kama hizi mwanaume hazinihusu:banghead:
 
Shoga umemuona huyo tu?Mbona kuna wengine kila siku wanajitapa kua hawapendi hili jukwaa wanawaachia akina warumi lakini nashangaa tunabanana nao humuhumu!

Hili jukwaa ni inevitable hadi watu wa siasa wanapitamo huku kimya kimya ndio ushangae sasa
 
Mimi RANGE kubwa sana kwangu.Mimi mwembamba na range wapi na wapi?Ile BMW ni habari nyingine bwana.
Ila,kipendacho roho .....
May our dreams come true!

AMEN....

hahaaaa....dear sasa mie mwenyewe mwembamba.....nikiendesha nadhani watasema haka katoto kameiba gari ya baba yake.....kumbe....
 
Takribani wiki saba tangu anyakue zaidi ya Sh. Milioni 500 baada ya kuibuka mshindi kwenye Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan anadaiwa kubakiza takribani kiasi cha Sh. milioni 200 baada ya kudaiwa kununua mjengo wa ghorofa wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 300.

Kwa mujibu wa Idris, nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar hivyo kwa sasa naye ni baba mwenye nyumba.Mjengo wa ghorofa uliononuliwa na mshindi kwenye Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan.Jamaa huyo alitarajia kuhamia kwenye mjengo huo jana Jumapili.

Mjengo huo una vyumba kadhaa, sebule mbili, bustani na eneo la kutosha la maegesho ya magari.Habari zinadai kwamba kama kweli ametumia kiasi hicho cha fedha huku akimshukuru mtu aliyemtaja kwa jina la Mohamed kwa kufanikisha jambo hilo, basi atakuwa amebakizi milioni 200 ambazo wataalam wa mambo ya uchumi wanamshauri kufungulia kampuni au biashara.

Wataalam hao walifafanua kwamba, Idris anatakiwa kuzitumia fedha hizo kujiongezea kipato la sivyo atazitumia kuhudumia nyumba hiyo kwa vitu kama kulipia bili mbalimbali, kodi na kuajiri wahudumu.

“Anaweza akaona kwamba kununua nyumba ni matumizi mazuri ya fedha alizoshinda lakini anatakiwa awe makini, aidha kwa kufanyia biashara au kutoa huduma itakayokuwa ikimwingiza kipato.

“Pia asisikilize watu wanasema nini juu ya fedha zake. Anatakiwa kutimiza ndoto zake alizokuwa nazo kabla hajazipata,” alisema mmoja wa wataalam hao ambaye hakupenda jina lake liandikwe.

Simpangii mtu na maisha yake wala mali yake....on my take angenunua eneo zuri tu maeneo goba ambako si mbali na mjini btw na kama angejenga tha same house huko goba kwa kuzingatia usimamizi mzuri angesave hela nyingi sana...kuliko hyo m 300 aliyotumia. Bado ana option ya kuuza lakn cz ita appreciate value. Perhaps hana washauri wazuri.

Kama ni biashara angenunua nyumba uswazi yenye vyumba vingi afanye guest house. Akisimamia goli mwenyewe kibishi hela inarudi in a few years nd he z sure kupata mkate wa kila siku and build a home from the revenues of that business. #MtazamoTu
 
Back
Top Bottom