Idris wa BBA abakiza million 200

Idris wa BBA abakiza million 200

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Takribani wiki saba tangu anyakue zaidi ya Sh. Milioni 500 baada ya kuibuka mshindi kwenye Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots' 2014, Idris Sultan anadaiwa kubakiza takribani kiasi cha Sh. milioni 200 baada ya kudaiwa kununua mjengo wa ghorofa wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 300.

Kwa mujibu wa Idris, nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar hivyo kwa sasa naye ni baba mwenye nyumba.Mjengo wa ghorofa uliononuliwa na mshindi kwenye Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots' 2014, Idris Sultan.Jamaa huyo alitarajia kuhamia kwenye mjengo huo jana Jumapili.

Mjengo huo una vyumba kadhaa, sebule mbili, bustani na eneo la kutosha la maegesho ya magari.Habari zinadai kwamba kama kweli ametumia kiasi hicho cha fedha huku akimshukuru mtu aliyemtaja kwa jina la Mohamed kwa kufanikisha jambo hilo, basi atakuwa amebakizi milioni 200 ambazo wataalam wa mambo ya uchumi wanamshauri kufungulia kampuni au biashara.

Wataalam hao walifafanua kwamba, Idris anatakiwa kuzitumia fedha hizo kujiongezea kipato la sivyo atazitumia kuhudumia nyumba hiyo kwa vitu kama kulipia bili mbalimbali, kodi na kuajiri wahudumu.

"Anaweza akaona kwamba kununua nyumba ni matumizi mazuri ya fedha alizoshinda lakini anatakiwa awe makini, aidha kwa kufanyia biashara au kutoa huduma itakayokuwa ikimwingiza kipato.

"Pia asisikilize watu wanasema nini juu ya fedha zake. Anatakiwa kutimiza ndoto zake alizokuwa nazo kabla hajazipata," alisema mmoja wa wataalam hao ambaye hakupenda jina lake liandikwe.
 

Attachments

  • 1422907620233.jpg
    1422907620233.jpg
    102.1 KB · Views: 2,338
Hela za bure hajazitolea jasho hata akiibiwa zote akisikitika nitamshangaa sana!..si kapewa bure na wanaume wenzie!..yes kalishwa kaogeshwa halafu kapewa hela!...hivi mwanaume mwenzetu cheka ndio kafungwa kweli miaka mitatu? Dah mungu msaidie atoke salama arudi kupambana na maisha
 
Mi nilijua atanunua walau range evoque kama ya jide?? Sasa nyumba yote hyo anapak gari amabyo warumi anatumia kwenda nayo kupiga umbea? Hapana kwa kweli sio gari hlo


Binamu ulipotelea wapi?
 
Binamu nipo aseeh...vimajukumu tu vinatubana ila nipo kaka ake sema speed tu imepungua..

Unatukata stimu yaani nikipita anga hizi nikifungua thread nikiona haijaanzishwa na warumi sisomi hata mistari mitatu nasepa

Usifanye hivyo bwana we ndo king hapa...
 
Last edited by a moderator:
Kama amenunua nyumba amefanya vema. Akiishiwa anaipangisha nae apanga uswahilini na faida atapata
 
Unatukata stimu yaani nikipita anga hizi nikifungua thread nikiona haijaanzishwa na warumi sisomi hata mistari mitatu nasepa

Usifanye hivyo bwana we ndo king hapa...

Kweli binamu, sometimes hadi mimi mwenyewe najimis ninavyoandika thread humu,yani dah!!! Nimemiss sana those moments, ila soon ntarudi mazimaaa
 
Last edited by a moderator:
Mi nilijua atanunua walau range evoque kama ya jide?? Sasa nyumba yote hyo anapak gari amabyo warumi anatumia kwenda nayo kupiga umbea? Hapana kwa kweli sio gari hlo

Warumi kwema?
 
JF accountants wataibuka kuja kumpangia namna ya kutumia pesa zake

wape 24hrs watakuja tuuu

Middle class&poor people buy liabilities and think they are assets

Rich people buy assets

Source: Rich dady,Poor dady by Robert Kiyosaki

NB:Just trace that poor guy after 3 years then you will call again Jf accountants to explain it to you!
 
Mi nilijua atanunua walau range evoque kama ya jide?? Sasa nyumba yote hyo anapak gari amabyo warumi anatumia kwenda nayo kupiga umbea? Hapana kwa kweli sio gari hlo
Ni kama mtu aliyekung'uta suti ya bei mbaya halafu chini yebo yebo!!! Dah, anyway... kama ndivyo alivyochagua kuishi, then sio issue na kama akijaribu kununua usafiri unaofanana na mjengo wake kwa pesa aliyobakiwa nayo itakuwa ndo kaharibu kabisa... heri huyo Meddy ampe na maujanja ya kuzungusha hizo zilizobaki..
 
Mbona anasema na watu wansema hiyo nyumba kahongwa na mwanaume...
 
Back
Top Bottom