Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,865
Reaction score
4,506
Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha Station. Dida ni mmoja wa watangazaji wenye kelele sana
 
Attachments

Hiyo radio yenyewe n ya makelele unategemea
Nn na unatoa wapi mda WA kuskiliza
Huo utopolo wakat XXL ipo ??
 
Hao viumbe siwaelewagi katu,siwezi wasikiliza hata sekunde wao na wasafi yao.
 
We ndio unajua leo

Dida nilimkataa toka yupo times aisee ana kelele mno.......
 
Mpenda kiki/sifa mmoja nadhani hata nyie mlimsikia akisema anapenda kupigwa ngumi na basha wake huko kwenye mahusiano yake, basi hawa kina dida kwao ndio ikawa mada.
 
Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha Station. Dida ni mmoja wa watangazaji wenye kelele sana
Hahahhahaha
 
Back
Top Bottom