Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Unasikiliza machoko?Hivi huyo Lokole ndiyo Mwijaku?
Ni machoko? Umejuaje?Unasikiliza machoko?
Hao ni wapayukaji...
Hawajifunzi kutoka Kwa wasafi FM...
Dhaaaa [emoji1][emoji1][emoji1] mkuu Kwan Kwa sasaHao ni wapayukaji...
Hawajifunzi kutoka Kwa wasafi FM...
Ahsante studioHpn jmn cna Kaz ila cwez kuwasikikiza kina juma lokole na kin Bab level
Ipo radio moja tu Rfa matangazo ya mchana dw na sport extra
HahahhahahaInaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha Station. Dida ni mmoja wa watangazaji wenye kelele sana