Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

Hiyo radio yenyewe n ya makelele unategemea
Nn na unatoa wapi mda WA kuskiliza
Huo utopolo wakat XXL ipo ??
Nilikuwa tu natembelea Station mbalimbali nilipofika kwa hawa majuha nikasikia wanabishana nikaona nipige kituo hapo niwasikilize wanabishana nini
 
Kama hujui hao ndio wanawasikilizaji wengi sana na hapo hela ndio zinaingia.

Mfano mzuri ni uzi wa rikiboy wa kula kimasihara unawachangiaji wengi ukilinganisha na nyuzi za Mohamed Said ambazo zinaelimisha ila hazina wachangiaji wengi.
 

Mkuu, habari za Mbeya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…