nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Inaujulikana kwamba wasanii na type hizo kwa nchii lazima ujiweke karibuna DAB,usifie wanachosifia DAB,mfalme na wapiga vigelegele wake
Mfano ni suala la CAG anayepata misukosuko kwa kuonyesha upotevu wa TRILIONI 2.4 ,Unaona jinsi nzi wa kijani wanavyoshangilia bila kujua huo ndiyo msumari wa mwisho wa kuletewa fedha na misaada mingine toka kwa wahisani allias mabeberu maana hakuna watu wanaotaka kutoa hela yao iende sehemu ikatapanywe bila kusimamiwa,pamoja na mapungufu yote at least CAG wa nchi akionekana yupo huru inaongeza hata heshima ya nchi sasa unavuruga kote kuanzia democracy,haki za binadamu ,hadi CAG?for God sake jamani.
Watu huwa wanashangilia mtu kalala kaamka anasema hii bilioni 45 kajenge chato,yupo ziarani watu wakishangilia unasikia nitatoa bilioni 50 ifanye hiki. KAZI YA BUNGE LA BAJETI NI NINI?humohumo zinatoweka nyingine hazina hata mahesabu.GOD BLESS YOU PROFESA ASSAD,we ni tofauti na maprofesa wa hovyo tulionao awamu hii
Na wewe Idrissa umefanya la maana sana ila subiria mziki wa kina le mtumbozi na DAB.