Hahahaaaa. Tuyaache tu dada. Watu wanajua kucheza na hizi mitandao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo najua umepata mkongwe kumbe mtu analingana na mdogo wako wa mwisho
Hela ipo lkn [emoji14][emoji14]Njoo kwangu.. ni mkongwe pia
Sana yaani dada. πππYaani yajayo yanafurahisha sana [emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Tuyaache tu dada. Watu wanajua kucheza na hizi mitandao.
[emoji23][emoji23][emoji23] sitaki mieeeee.
Bill Gates akose tena hela mkuu, njoo tuyajenge tafadhariHela ipo lkn [emoji14][emoji14]
Abarikiwage tu baba wa watu. Maana ametuweza.Kweli kabisa max ana akili sana kutuletea jf
Sana yaani dada. [emoji23][emoji23][emoji23]
Na hapa usishangae akaja mungine na uzi wa kinyume cha huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Free p[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakuwa sina bahati,nitaamia kule jukwaa la siasa kujadili namna ya kuwatoa ccm madarakani or nitaondoka tu jf nirudi huku mtaani kwetu...siwezi kosa wale wa free p[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa hakuna anayenificha ubize tu dada anguNipo mdogo wangu. Habari ya masiku?
Anayekuficha naomba umwambie nina kesi naye kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23]
alicheza kama pele aseeKweli kabisa max ana akili sana kutuletea jf
Ndioo. Tena akazipamba mpaka tukaona hao wazee tupa kule. ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akasifia wenye I'd mpya hii ndio jf bwana
Naja fastaa mbonaBill Gates akose tena hela mkuu, njoo tuyajenge tafadhari