ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Hahahaha pole yao wanaotelekeza I'd zao
alafu sasa raha ya jf uendelee kubaki kwenye kivuli cha fake ID [emoji23][emoji23]...ndio maana humu watu huwa wakigundulika real id zao huwa wanatelekeza ID wanafungua mpya [emoji23][emoji23]
 
Naona Mtani uzi unakugusa ndio sababu hutii neno mwenyewe zaidi ya dole gumba tu[emoji23][emoji23]

Maana na weye Mkongwe ujue. [emoji12][emoji12]
Hahaha, mie hapa sio Mkongwe [emoji1] [emoji1] ,wakongwe wapo
 
Huu ukweli mchungu,wale wageni wenzangu wote humu nimeshawaambia tuwe wavumilivu,hawa wahumu ndio hawa hawa wa mtaani. Cha msingi tuache kwenda PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…