intermediate
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 232
- 166
Umesema za kwanzia mwaka gani nije nazo zote hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani mm humu huwa nacheka muda wote ,kuna furahisha sana [emoji23] [emoji23] ,ndio huwa siaminigi watu na mambo yao, kuna sehemu nimeona umechangia vzr sanaNaona Mtani uzi unakugusa ndio sababu hutii neno mwenyewe zaidi ya dole gumba tu[emoji23][emoji23]
alafu sasa raha ya jf uendelee kubaki kwenye kivuli cha fake ID [emoji23][emoji23]...ndio maana humu watu huwa wakigundulika real id zao huwa wanatelekeza ID wanafungua mpya [emoji23][emoji23]
Kwani mwanzo ulikuwa unatumia hii avatar! kuna ile ya machui chui irudishe basiSalaam zimefika sakayo utamuona karibia nani kabadili avatar tena
SawaaNakusubiri...ngoja niandae na makarabrasha yangu
Mbona unanikimbia tena[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwani mwanzo ulikuwa unatumia hii avatar! kuna ile ya machui chui irudishe basi
HataHivoInakupasaUjueKuwaKamaChumaHuliwaNaKutuBasiChaMtuHuliwaNaMtu[emoji23][emoji23][emoji23] Bas sawa asantee
Hahaha, mie hapa sio Mkongwe [emoji1] [emoji1] ,wakongwe wapoNaona Mtani uzi unakugusa ndio sababu hutii neno mwenyewe zaidi ya dole gumba tu[emoji23][emoji23]
Maana na weye Mkongwe ujue. [emoji12][emoji12]
Huu ukweli mchungu,wale wageni wenzangu wote humu nimeshawaambia tuwe wavumilivu,hawa wahumu ndio hawa hawa wa mtaani. Cha msingi tuache kwenda PM.Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.
Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew
Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.
Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh
Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.
Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.
Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
Huyo ni wewe? oouhHahhahahha sasa hivi naweka avatar zangu sitaki kuweka za watu nitashtakiwa na basata
Nakimbilia huko tuyajengeMbona unanikimbia tena
Huyo ni wewe? oouh
Heheheheee naogopa kurogwaHataHivoInakupasaUjueKuwaKamaChumaHuliwaNaKutuBasiChaMtuHuliwaNaMtu
nilifikiri npo peke yangu kumbe mawazo yetu yanafananaHeading ya uzi na story vitu viwili tofauti, sijui kama unajua ulichoandika
UogaWakoUtakuponza!Heheheheee naogopa kurogwa
Daah ,hauji tu?Nakimbilia huko tuyajenge
Ooh. Hapo sawa.Hahahaaa hakuna anayenificha ubize tu dada angu
Za masiku ni nzuri sijui kwako dada
TupacStyle!KamaUliiskizaIleNgomaYakeMEANDMYGIRLFRIENDThenMleNdaniMwanzoMwishoAnazungumziGunnilifikiri npo peke yangu kumbe mawazo yetu yanafanana