ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

basi umetokea makete
Mimi sio wa huko kabisa,unajua nini sisi wengine tuliamua tu kuwa tofauti na wengine,kama wengine walivyoamua kuwa tofauti na wengine,kwani wakati mwingine mambo yasiyo na umuhimu tuna waachia wengine.

Hii tunasema wengine wakifanya wanawatosheleza wengine.
 
Kumbe nami mkongwe ngoja nianze kutembelea pm sasa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…