Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hebuuu ukooo. πππππBest angu mzuri
Niaje lakini best? Hivi weye unasimamia wapi best ndio upande wa wakongwe eee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebuuu ukooo. πππππBest angu mzuri
Cheka tu !heheheheh
wachaaakadri papuchi inavyokua changa ndivyo thamani yake ilivyo juu
ππππThanks sis
Be blessed as well
mbona@shunie kaweka hujalalamikaNdio tabia yake kuniwekea ma alama alama mara Dπ: mara ); yaani huwa ananitoa katika reli kinom noma.
my ribs....Kuna mtu nampa likes hata akikohoa, ili mradi tuu.....
Namuogopa !mbona@shunie kaweka hujalalamika
Shunie muogope akilewa tu!huwa anajiamin balaa!sasa hv walaaNamuogopa !
mm mwenyewe nimemuona huyo mtu aiseeKuna mtu nampa likes hata akikohoa, ili mradi tuu.....
Usinitoe kwenye frequence zangu,kwanza ni promise kama hutarudia tena kuniwekea vi alama alama !Shunie muogope akilewa tu!huwa anajiamin balaa!sasa hv walaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jamaniNdio tabia yake kuniwekea ma alama alama mara Dπ: mara ); yaani huwa ananitoa katika reli kinom noma.
Hahhahaha nimeweka nn mmmbona@shunie kaweka hujalalamika
Unafurahiiii...?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jamani
npe msahafu au katiba nile kiapo mie! ila ww sio bure kama hujatoka matombo au kinole sijuiUsinitoe kwenye frequence zangu,kwanza ni promise kama hutarudia tena kuniwekea vi alama alama !
emojiHahhahaha nimeweka nn mm
Hahaha, sawa mtani nitakupitishia ,Jana nilikua uwanjani nawashuhudia Tp Mazembe wakitolewa kizembe robo fainali ,wamekosa penalty mbiliHahahaaa. Bora aiseee.
Hata na mie nimesikia ujue. Ila sasa ndio ukizipata za uhakika na mie uje kunipatia nisherehekee. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Embu otea mimi nimetoka wapi ?npe msahafu au katiba nile kiapo mie! ila ww sio bure kama hujatoka matombo au kinole sijui
Embu otea mimi nimetoka wapi ?
Umenikuu vibaya... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wachaaa