ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Ndio tabia yake kuniwekea ma alama alama mara DπŸ˜€: mara ); yaani huwa ananitoa katika reli kinom noma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jamani
 
Hahahaaa. Bora aiseee.

Hata na mie nimesikia ujue. Ila sasa ndio ukizipata za uhakika na mie uje kunipatia nisherehekee. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hahaha, sawa mtani nitakupitishia ,Jana nilikua uwanjani nawashuhudia Tp Mazembe wakitolewa kizembe robo fainali ,wamekosa penalty mbili
 
Back
Top Bottom