Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
hhhhahahaa kumbe wapaelewa!😀Itakua Kona ya Matombo Kinole Mlima Mkali Kupanda Ni Shida😀😀
Hadi Kisawasawa😀😀😀hhhhahahaa kumbe wapaelewa!😀
How come mawazo ya mtu mmoja yakawa benchmark, siku akija na uzi tofauti kuhusu ID za zamani mtageuza maneno mnasema hamjakuwa valued, ID yako ina value kuendana na unachopost humu, ukiwa na ID ya 2006 afu unaandika fikra za mtoto wa form 2 unaonekana 0...Wenye id zetu za zamani tupo high valued
wanapaweza wenyewe aisee!ila kuzuri hali ya hewa tamuHadi Kisawasawa😀😀😀
Ila sasa mvua ikinyesha kuendeka ni mtihaniii
Hali ya hewa ipo poa sana. Kwanza ni very green ila vumbi tu wakati wa kiangaziwanapaweza wenyewe aisee!ila kuzuri hali ya hewa tamu
Mie mzima kabisa shaka ondoaMzima sana tu khofu kwako
Umejua ni nini lakini Sesten?😳😳😳😡🙁
HahahaUmejua ni nini lakini Sesten?
Tulikuwa tunasemea habari za Simba bana Sesten kwamba kuna mtu anataka afungashe virago. [emoji23][emoji23][emoji23]
jiwe juu ya jiwe shem kipenziUkishaipata skrepa yako unipiemu ili nami nije kwa chuma chakavu changu cha mwaka 2007 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh
Hahaah wewe hata ujibebishe vipi, kwa chamdeko utapigwa za uso...Hata ukinibania ila nishaonja japo kwa macho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona wacheka mtani?Hahaha
Mambo vipi mtani ,uko poa ?nafurahi sana mtani mambo ya humuMbona wacheka mtani?