ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

wanapaweza wenyewe aisee!ila kuzuri hali ya hewa tamu
Hali ya hewa ipo poa sana. Kwanza ni very green ila vumbi tu wakati wa kiangazi

Kuna vyakula vya kila aina na maji yanatiririka tu kwenye mito. Mihogo, magimbi na ndizi ni vingi sana tena vizuri mnoo.

The place is so beautiful kwakweli
 
Mwenye id kongwe ngoja nikajaribu kuchokonoa pm za watu nione mrejesho
 
Hata ukinibania ila nishaonja japo kwa macho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaah wewe hata ujibebishe vipi, kwa chamdeko utapigwa za uso...

Bora mi nijaribu bahati yangu... si unajua ule mradi wangu wa ufugaji wa konokono umefikia hatua kubwa? Muda si mrefu naanza tripu za Shanghai...
 
Back
Top Bottom