ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

We unawazaga upumbavu tu..sidhaji hata kama unaingiza elf 10 kwa siku!
 
Hahaah wewe hata ujibebishe vipi, kwa chamdeko utapigwa za uso...

Bora mi nijaribu bahati yangu... si unajua ule mradi wangu wa ufugaji wa konokono umefikia hatua kubwa? Muda si mrefu naanza tripu za Shanghai...
Nimechekaaa hatar
 
Jf nipo tangu 1998 nilijunga week moja kabla baba wa taifa hajaondoka
 
Siku moja tuanze kujadili kile kilimo cha nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…