ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Eti na mie ID yangu nnafaa kuitwa mkongwe au!? Embu kabisaidie kuchungulia. Ili nijue mapema kama nnafaa kukuzamia DM[emoji38][emoji38]
 
Wanasema mtu mzima dawa!

ila trust me, kuna wajinga wamezeeka. Next week, I'm turning 18 years old!

I can't wait!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya ndio tunayazungumzia na ndugu yangu Hajar insta babe mambo ya jf ni vice versa
Hahahaaa. Kuna mmoja nilimsoma juzi id yake ina miaka zaidi ya mitano ila akasema alijiunga humu akiwa na miaka 16 sijui 17 nikasema Doooh.

Jf ni zaidi ya tuijuavyo. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahaaaa. Wakuta akiulizwa maswali anamuuliza kwanza baba nijibuje hapa akishajibu unajua mzeee kuumbe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jf idumu jamaani Dada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Idumu idumu jf kiboko
 
Upo dadaangu mzuri?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya ndio tunayazungumzia na ndugu yangu Hajar insta babe mambo ya jf ni vice versa
sema haya mambo ndio yanafanya JF iwe tofauti na mitandao mingine ujue ...maana ingekuwa watu wanatumia ID za ukweli ingekuwa haina tofauti na facebook au insta πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…