Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Hivi hawa IDU wana mamlaka gani ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania? Wao ni akina nani?
Tanzania ni dola huru na nchi ambayo inajitawala. Kwa nini watoe Tamko la kuwasemea Chadema mambo ambayo hayana mashiko?
Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetamka bayana kuwa mamlaka ya kujitawala Watanzania yapo mikononi mwao, ndio maana huwa wanachagua ni serikali gani ikae madarakani. Kwa nini IDU waingilie mamlaka ya Watanzania?
Wao ni akina nani kuhoji juu ya Tume ya Uchaguzi, matokeo ya uchaguzi na kutaka tuwekewe vikwazo?
Kwani tume ya uchaguzi, matokeo ya uchaguzi na serikali iliyopo vimepatikama kinyume na katiba ya JMT? Kama ni urafiki na Chadema waendeleze urafiki wao huko, lakini sio kuingilia Sovereignity yetu.