M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Polisi na TISS wanayo mamlaka gani ya kuninyang'anya kura yangu?IDU ina mamlaka gani kuingilia masuala ya Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi na TISS wanayo mamlaka gani ya kuninyang'anya kura yangu?IDU ina mamlaka gani kuingilia masuala ya Tanzania?
Nendeni mahakamani mkadai ubunge kama kweli mlidhurumiwa.Sijbu upumbavu.
Unao ushahidi walikunyang'anya?Polisi na TISS wanayo mamlaka gani ya kuninyang'anya kura yangu?
Ungekuwa umeeleza vizuri asingeuliza! Kama Katiba kuvunjwa na kutoheshimiwa mbona sisi wenyewe twaongoza? Charity begins at home.Boss mpenda haki nimeeleza vizuri tu.
Kaa kimya, kwani sijaeleza juu ya IDU walicholalam?Ungekuwa umeeleza vizuri asingeuliza! Kama Katiba kuvunjwa na kutoheshimiwa mbona sisi wenyewe twaongoza? Charity begins at home.
Umetaja taja maneno bila kujenga hoja!Kaa kimya, kwani sijaeleza juu ya IDU walicholalam?
@Chagu. Hivi hutaki kuamini kuwa mliunajisi uchaguzi ?!. Cdm na wananchi kwa ujumla wao hawana hazina wala bunduki . Wakwetu hajachaguliwa kiivyo amini usiamini . Furahieni 84% kwa 99% shida iko wapi ?!Hivi hawa IDU wana mamlaka gani ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania? Wao ni akina nani?
Tanzania ni dola huru na nchi ambayo inajitawala. Kwa nini watoe Tamko la kuwasemea Chadema mambo ambayo hayana mashiko?
Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetamka bayana kuwa mamlaka ya kujitawala Watanzania yapo mikononi mwao, ndio maana huwa wanachagua ni serikali gani ikae madarakani. Kwa nini IDU waingilie mamlaka ya Watanzania?
Wao ni akina nani kuhoji juu ya Tume ya Uchaguzi, matokeo ya uchaguzi na kutaka tuwekewe vikwazo?
Kwani tume ya uchaguzi, matokeo ya uchaguzi na serikali iliyopo vimepatikama kinyume na katiba ya JMT? Kama ni urafiki na Chadema waendeleze urafiki wao huko, lakini sio kuingilia Sovereignity yetu.
We bwege nimeleza bayana kuwa Idu wamelalamika tume ya uchaguzi sio huru, matokeo ya uchaguzi na wanataka tuwekewe vikwazo,wao wana mandate gani?Umetaja taja maneno bila kujenga hoja!
Hata bila mamlaka ulimwengu uelewe kuwa sifa mnazojipa za ushindi wa kishindo ni fakeIDU ina mamlaka gani kuingilia masuala ya Tanzania?
Kama mnaoushahidi fuateni taratibu,sio kuwategemea IDU.@Chagu. Hivi hutaki kuamini kuwa mliunajisi uchaguzi ?!. Cdm na wananchi kwa ujumla wao hawana hazina wala bunduki . Wakwetu hajachaguliwa kiivyo amini usiamini . Furahieni 84% kwa 99% shida iko wapi ?!
Kama ni fake rais wa ufaransa,China na mataifa ya magharibi wangeikubali serikali yetu?Hata bila mamlaka ulimwengu uelewe kuwa sifa mnazojipa za ushindi wa kishindo ni fake
Tatizo wanafikiri na kutenda kama malaika ilhali ni mashetani. Wao wanaona ni halali kwa vile sheria,vyombo vya dola na NEC iko mikononi mwao. Hata makaburu walikuwa na vyote hivyo lakini kamwe hawakuwa wema!@Chagu. Hivi hutaki kuamini kuwa mliunajisi uchaguzi ?!. Cdm na wananchi kwa ujumla wao hawana hazina wala bunduki . Wakwetu hajachaguliwa kiivyo amini usiamini . Furahieni 84% kwa 99% shida iko wapi ?!
Hawa hawana mamlaka yeyote,mamlaka tunayo sisi,hivyo tutulie tuambiwe ukweli tusioupenda.Hivi hawa IDU wana mamlaka gani ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania? Wao ni akina nani?
Tanzania ni dola huru na nchi ambayo inajitawala. Kwa nini watoe Tamko la kuwasemea Chadema mambo ambayo hayana mashiko?
Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetamka bayana kuwa mamlaka ya kujitawala Watanzania yapo mikononi mwao, ndio maana huwa wanachagua ni serikali gani ikae madarakani. Kwa nini IDU waingilie mamlaka ya Watanzania?
Wao ni akina nani kuhoji juu ya Tume ya Uchaguzi, matokeo ya uchaguzi na kutaka tuwekewe vikwazo?
Kwani tume ya uchaguzi, matokeo ya uchaguzi na serikali iliyopo vimepatikama kinyume na katiba ya JMT? Kama ni urafiki na Chadema waendeleze urafiki wao huko, lakini sio kuingilia Sovereignity yetu.
Hakuna atakaye kuelewa.Boss mpenda haki nimeeleza vizuri tu.
Ukweli gani?Hawa hawana mamlaka yeyote,mamlaka tunayo sisi,hivyo tutulie tuambiwe ukweli tusioupenda.
Hujui kusoma?Hakuna atakaye kuelewa.
Eleza IDU WAMEONGEA NINI AU WAINGILIA NINI KTK NCHI YAKO?
Tuweke kwenye uwanja mpana wa kujadiri
Kuungwa mkono na China ambao nao ni ma dictator si hoja . Ufaransa wao wana agenda yaoKama ni fake rais wa ufaransa,China na mataifa ya magharibi wangeikubali serikali yetu?
Eu wana jumla ya nchi ngapi? Usa na kwingineko kuna malalamiko?Kuungwa mkono na China ambao nao ni ma dictator si hoja . Ufaransa wao wana agenda yao
Bwege ni wewe unayedhani umeeleweka.Mara IDU wasitusemee watanzania,mara CDMWe bwege nimeleza bayana kuwa Idu wamelalamika tume ya uchaguzi sio huru, matokeo ya uchaguzi na wanataka tuwekewe vikwazo,wao wana mandate gani?
We bwege nimeleza bayana kuwa Idu wamelalamika tume ya uchaguzi sio huru, matokeo ya uchaguzi na wanataka tuwekewe vikwazo,wao wana mandate gani?
BWEGE NI WEWE. Mara IDU wasiingilie mambo yetu,mara wasiwasemee CDM,mara urafiki wao na CDM wasituingilie mambo yetun.k. Huoni unavyojichanganya.We bwege nimeleza bayana kuwa Idu wamelalamika tume ya uchaguzi sio huru, matokeo ya uchaguzi na wanataka tuwekewe vikwazo,wao wana mandate gani?