IDU kuwasemea CHADEMA ni dharau kwa Watanzania na kutaka kutuparaza vidole machoni

Ungekuwa umeeleza vizuri asingeuliza! Kama Katiba kuvunjwa na kutoheshimiwa mbona sisi wenyewe twaongoza? Charity begins at home.
Kaa kimya, kwani sijaeleza juu ya IDU walicholalam?
 
Sasa unajali nini kama Tanzania ni dola huru kaa ule mchuzi na Magufuli pandisheni na miguu juu
 
@Chagu. Hivi hutaki kuamini kuwa mliunajisi uchaguzi ?!. Cdm na wananchi kwa ujumla wao hawana hazina wala bunduki . Wakwetu hajachaguliwa kiivyo amini usiamini . Furahieni 84% kwa 99% shida iko wapi ?!
 
Umetaja taja maneno bila kujenga hoja!
We bwege nimeleza bayana kuwa Idu wamelalamika tume ya uchaguzi sio huru, matokeo ya uchaguzi na wanataka tuwekewe vikwazo,wao wana mandate gani?
 
@Chagu. Hivi hutaki kuamini kuwa mliunajisi uchaguzi ?!. Cdm na wananchi kwa ujumla wao hawana hazina wala bunduki . Wakwetu hajachaguliwa kiivyo amini usiamini . Furahieni 84% kwa 99% shida iko wapi ?!
Kama mnaoushahidi fuateni taratibu,sio kuwategemea IDU.
 
@Chagu. Hivi hutaki kuamini kuwa mliunajisi uchaguzi ?!. Cdm na wananchi kwa ujumla wao hawana hazina wala bunduki . Wakwetu hajachaguliwa kiivyo amini usiamini . Furahieni 84% kwa 99% shida iko wapi ?!
Tatizo wanafikiri na kutenda kama malaika ilhali ni mashetani. Wao wanaona ni halali kwa vile sheria,vyombo vya dola na NEC iko mikononi mwao. Hata makaburu walikuwa na vyote hivyo lakini kamwe hawakuwa wema!
 
Hawa hawana mamlaka yeyote,mamlaka tunayo sisi,hivyo tutulie tuambiwe ukweli tusioupenda.
 
We bwege nimeleza bayana kuwa Idu wamelalamika tume ya uchaguzi sio huru, matokeo ya uchaguzi na wanataka tuwekewe vikwazo,wao wana mandate gani?
Bwege ni wewe unayedhani umeeleweka.Mara IDU wasitusemee watanzania,mara CDM
We bwege nimeleza bayana kuwa Idu wamelalamika tume ya uchaguzi sio huru, matokeo ya uchaguzi na wanataka tuwekewe vikwazo,wao wana mandate gani?

We bwege nimeleza bayana kuwa Idu wamelalamika tume ya uchaguzi sio huru, matokeo ya uchaguzi na wanataka tuwekewe vikwazo,wao wana mandate gani?
BWEGE NI WEWE. Mara IDU wasiingilie mambo yetu,mara wasiwasemee CDM,mara urafiki wao na CDM wasituingilie mambo yetun.k. Huoni unavyojichanganya.

CDM ni sehemu ya watanzania,wana haki ya kwa na rafiki kama nyie ccm na wachina.Mbona CDM hawajalalamikia urafiki wenu na wala nyoka hao? Na kama mnadai mko huru mnalalamikia nini wanapohoji mambo ya msingi ambayo nyinyi ni sehemu baadaaini kuridhia? Au mliridhia kimangungo? Ukipenda boga penda na ua lake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…