IDU kuwasemea CHADEMA ni dharau kwa Watanzania na kutaka kutuparaza vidole machoni

Sawa, urafiki wenu ndio iwe sababu ya kuingilia mamlaka ya watanzania? Kujua kusoma sio kuelewa andiko.
 
Acha kutoa pvu
 
Msaada umetolewa na France kwa jina la EU . Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]
Jaduong siasa ya Tanzania unaijua vizuri,watanzania wameikataa Chadema msilazimishe. Kama wangekuwa wanaitaka kila mtanzania asingekaa kimya.
 
Jaduong siasa ya Tanzania unaijua vizuri,watanzania wameikataa Chadema msilazimishe. Kama wangekuwa wanaitaka kila mtanzania asingekaa kimya.
@Chagu. Hivi waTz kama wangeikataa Cdm mngetumia nguvu zote hizo za vyombo vya dola na vya maamuzi ?!. Kwani ndiyo mara ya kwanza tumefanya uchaguzi wa vyama vingi ?!. Alichofanya ndugu yetu haimaanishi kuwa anakubalika . Kikubwa waTz hawapendi fujo . Tunategemea maendeleo kama ulaya kwa kuwa wapinga maendeleo wameenguliwa.
 
Jaduong kwa nafasi ya urais mlijua hamuipati sababu Ccm wanakubalika,nafasi za ubunge mlijaribu na mmeshindwa kihalali,kama sio halali nendeni mahakamani.
 
Muacheni huyo mpuuzi na lithred lake limdodee msichangie chochote anafanya hivyo kutuprovoke .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…