Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa.
Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa.
Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja.
Nitahakikisha poroja za Twita hazichukui nafasi kwa vijana wa Chama hata kama wana njaa namna gani.