Anza kwa wazinzi wenzio huko CCM mnakohamasishana kutiana ili mzaliane ndipo uje kwa wengine.Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa.
Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa.
Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja.
Nitahakikisha poroja za Twita hazichukui nafasi kwa vijana wa Chama hata kama wana njaa namna gani.
je wajua kuwa baba yake olengai Ole Sabaya ameliingizia taifa hasara ya mil 900?Sometimes jiwe moja linaua ndege wawili
Pumbafuje wajua kuwa baba yake olengai Ole Sabaya ameliingizia taifa hasara ya mil 900?
ni baada ya kuwafukuza watu kinyume cha sheria huko serengeti alipokuwa DC?
BWATA NA HILI NALO BADALA YA KUBWEKA NA TAARAB ZA BI KHADIJA
Chanzo : Jamhuri la jana
You really hit the nail on the head.Mshika mawili, moja humponyoka! Mpiganie kwanza Jenerali Lengai Ole Sabaya atoke jela. Hayo mengine utayafanya baadaye. Ni ushauri tu lakini.
Yote yanawezekana kwa pamoja,tukomeshe uhalifu ndani ya chadomo?Mshika mawili, moja humponyoka! Mpiganie kwanza Jenerali Lengai Ole Sabaya atoke jela. Hayo mengine utayafanya baadaye. Ni ushauri tu lakini.
ahsante kwa kuwa mpumbavu zaid yangu. siku nyingingine uandike kinaga ubaga hapa upumbavu wangu ni upi haswa ili nijirekebishePumbafu