Idugunde: Tusipotoshe umma wafuasi na wanachama wa CHADEMA hawatetei majambazi wala uhalifu. Criminal justice must prevail

Tatizo lililopo ni kenye adhabu ndogo na rushwa iliyokithiri katika mahakama zetu. Hali inayowafanya waharifu waone huko ni sehemu salama kwao.

Siungi mkono mauaji ya watuhumiwa lakini inauma sana kumuona mtu aliyemdhuru au kukudhuru na kuchukua mali zako baada ya muda unamuona mtaani akidunda.

Mimi nadhani turekebishe mifumo yetu ya kimahakama na ziwekwe sheria Kali zaidi dhidi ya waharifu.
 
We jamaa unanikwaza sana kumhusisha hayati JPM na uonevu. Lini JPM alipuuza kero za wananchi walionewa? Acha zako.

Utakwazika sana kwa ukweli huo. Kwa taarifa yako Magufuli ndio aliyefanya kwa sehemu kubwa vyombo vya dola kufanyia wananchi watakavyo. Yeye ndio alikuwa anatoa vitisho kwa wananchi kufanyiwa ukatili pindi walipotaka kuandamana ili kuonyesha hisia zao. Tulikuwa tunaona kabisa watu wakiporwa mabango kwenye ziara zake ili ukweli usiwekwe hadharani.

Hiki kiburi cha mamlaka walicho nacho polisi hivi sasa, ni muendelezo wa mbegu iliyopandwa na Magufuli kuanzia kuchafua chaguzi za nchi hii ili kuweka viongozi aliowataka yeye. Matokeo yake hawa aliowaweka madarakani bila ridhaa ya umma bali kwa nguvu ya dola, hawana uwezo wa kuhoji matendo maovu ya polisi, maana wao ni matunda ya matumizi mabovu ya jeshi la polisi.
 
Ahaaa.
 
We jamaa una chuki zako.uchaghzi wa 2020 ulikufirisi
 
Bora haya kuliko Mtanzania haruhusiwi kumiliki aridhi zanzibar ila mzanzibari ruksa kumiliki chochote Tanganyika
Tena ukizingatia jamaa ni wabaguzi wa dini rangi na hata maumbile
Yote haya ni maovyo ya ccm
 
Utakwazika sana kwa ukweli huo. Kwa taarifa yako Magufuli ndio aliyefanya kwa sehemu kubwa vyombo vya dola kufanyia wananchi watakavyo. Yeye ndio alikuwa anatoa vitisho kwa wananchi kufanyiwa ukatili pindi walipotaka kuandamana ili kuonyesha hisia zao. Tulikuwa tunaona kabisa watu wakiporwa mabango kwenye ziara zake ili ukweli usiwekwe hadharani.

Hiki kiburi cha mamlaka walicho nacho polisi hivi sasa, ni muendelezo wa mbegu iliyopandwa na Magufuli kuanzia kuchafua chaguzi za nchi hii ili kuweka viongozi aliowataka yeye. Matokeo yake hawa aliowaweka madarakani bila ridhaa ya umma bali kwa nguvu ya dola, hawana uwezo wa kuhoji matendo maovu ya polisi, maana wao ni matunda ya matumizi mabovu ya jeshi la polisi.
Hakuna la maana uliloandika zaidi ya chuki tu dhidi ya hayati.
 
Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.

Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi.

Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu waseme ilipo bunduki. Na baadae mtuhumiwa kuuuawa.

Vipi haya matukiao ya watuhumiwa kujinyonga vituo vya polisi. Ina maana kwa sababu mtu ukiwa mwanaCCm ndio uamini kuwa mtuhumia ataingia na nguo ya kujinyongea selo ya polisi?

Inapofikia suala la haki ya raia tuweke siasa kando.
Iko hivi. Hakuna anayechukia haki wala furaha kwa kila mtu; ndiyo maana tukajiwekea sheria kanuni na taratibu tangu wazazi wetu Adam na Hawa wakiwa Paradiso na baadaye Musa kutushishia Amri 10 jiweni. Kuanzia hapa tukajiwekea Katiba na Tumehuru na kila ghasia. Ila ikummbukwe kuwa mwanzoni kabisa hizi Amri zilikuwa ni za Banisrail tu, yale makabila 12 ya Yakobo, si kwa kila mtu. Baadaye BWYK akatugomboa kwa kifo chake Msalabani, ikawa ni mastahili ya kila mtu. To cut a long story short haki hazi Kikatiba ni za raia wema tu, siyo za majambazi. Majambazi wana himaya yao eneo tajwa, huwa hakuingiliki. Hata Mhe. Kaselini wanasema haendagi kwao si chini ya miaka 3. Hawa ni majambazi, they have terrorised society all these years, si unaona hata bodaboda wanawakimbia? In short, haki unazozitaja ni za watu wema tu, wenzetu, si za majambazi wanaojulikana kijiji kizima.
 
Mawazo yako ni mazuri, hivyo nakushauri uendelee kuwa na msimamo huu usijekubadilishwa na mtawala mwingine.
 
Iko hivi. Hakuna anayechukia haki wala furaha kwa kila mtu; ndiyo maana tukajiwekea sheria kanuni na taratibu tangu wazazi wetu Adam na Hawa wakiwa Paradiso na baadaye Musa kutushishia Amri 10 jiweni. Kuanzia hapa tukajiwekea Katiba na Tumehuru na kila ghasia. Ila ikummbukwe kuwa mwanzoni kabisa hizi Amri zilikuwa ni za Banisrail tu, yale makabila 12 ya Yakobo, si kwa kila mtu. Baadaye BWYK akatugomboa kwa kifo chake Msalabani, ikawa ni mastahili ya kila mtu. To cut a long story short haki hazi Kikatiba ni za raia wema tu, siyo za majambazi. Majambazi wana himaya yao eneo tajwa, huwa hakuingiliki. Hata Mhe. Kaselini wanasema haendagi kwao si chini ya miaka 3. Hawa ni majambazi, they have terrorised society all these years, si unaona hata bodaboda wanawakimbia? In short, haki unazozitaja ni za watu wema tu, wenzetu, si za majambazi wanaojulikana kijiji kizima.
Pumba
 
Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.

Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi.

Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu waseme ilipo bunduki. Na baadae mtuhumiwa kuuuawa.

Vipi haya matukiao ya watuhumiwa kujinyonga vituo vya polisi. Ina maana kwa sababu mtu ukiwa mwanaCCm ndio uamini kuwa mtuhumia ataingia na nguo ya kujinyongea selo ya polisi?

Inapofikia suala la haki ya raia tuweke siasa kando.
Samia ni kama Magufuli?
 
Sasa chadema imefikaje hapo kenge wewe?
 
Jambazi hana haki yoyote tuache siasa za majitaka na binafsi ninaposikia jambazi kauawa bila kujalisha mazingira lilivyokufa moyoni napata amani kujua kwamba tatizo limeondolewa.

Hata Osama aliliwa na familia yake alivyouliwa hivyo hakuna kifo kisicho na maumivu kwa wafiwa lakini kifo cha jambazi ni furaha sana kwa wapenda amani.

Tusiwajengee utamaduni wahalifu waamini mahakamani, gerezani au polisi ni mahali salama kwako. Mhalifu akifikishwa polisi akitoka ajute na akatubu na akitoka gerezani vivyo hivyo
Ngoja afanyiwe baba yako akiwa na mdogo wako ndio utajua jambazi hana haki kabla ya kufikishwa mahakamani
 
Back
Top Bottom