Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Ni kweli CCM inamiliki Mazuzu lakini wewe umepita viwango vya Uzuzu.Jambazi hana haki yoyote tuache siasa za majitaka na binafsi ninaposikia jambazi kauawa bila kujalisha mazingira lilivyokufa moyoni napata amani kujua kwamba tatizo limeondolewa.
Hata Osama aliliwa na familia yake alivyouliwa hivyo hakuna kifo kisicho na maumivu kwa wafiwa lakini kifo cha jambazi ni furaha sana kwa wapenda amani.
Tusiwajengee utamaduni wahalifu waamini mahakamani, gerezani au polisi ni mahali salama kwako. Mhalifu akifikishwa polisi akitoka ajute na akatubu na akitoka gerezani vivyo hivyo
Kwako Polisi akitamka Fulani ni jambazi unapitisha bila kuhoji? Leo Polisi wakisema Tafàkari yetu ameuawa sababu ni jambazi na Sisi tuandamane kupongeza maana justification ya ujambazi wanayo Polisi? Polisi waliua yule kijana wa Mtwara Kwa sindano ya sumu wakimtuhumu ujambazi, mbona hatukukuona unawatetea humu kwamba wamepunguza ujambazi Mtwara?
Acha kucheza na uhai wa wenzio kama hutaki wa kwako uchezewe.