Idugunde: Tusipotoshe umma wafuasi na wanachama wa CHADEMA hawatetei majambazi wala uhalifu. Criminal justice must prevail

Ni kweli CCM inamiliki Mazuzu lakini wewe umepita viwango vya Uzuzu.
Kwako Polisi akitamka Fulani ni jambazi unapitisha bila kuhoji? Leo Polisi wakisema Tafàkari yetu ameuawa sababu ni jambazi na Sisi tuandamane kupongeza maana justification ya ujambazi wanayo Polisi? Polisi waliua yule kijana wa Mtwara Kwa sindano ya sumu wakimtuhumu ujambazi, mbona hatukukuona unawatetea humu kwamba wamepunguza ujambazi Mtwara?
Acha kucheza na uhai wa wenzio kama hutaki wa kwako uchezewe.
 
Naomba nikwambie Wazi kuhusu hili tukio la Serengeti. Silaha iliyokuwa inatafutwa ilikuwa ikihisiwa Huyo Mzee anaitumia kwenye uwindaji haramu na wenzake na si ujambazi. Wameitafuta silaha wameikosa wameua wahusika ili wasiendelee kuwinda. Hakuna rekodi yoyote wala tuhuma ya ujambazi Kwa Mzee Simon kabla ya kuuawa. Sarakasi za kukusanya Bodaboda kuunga mkono mauaji na kusema Bodaboda wamecjoshwa na ujambazi ni Sanaa za kishamba.
Wanaacha Majangiri wanaoua Tembo Kila siku wanatafuta wawindaji wanaotafuta mboga na àmbao hawana ushahidi wowote dhidi Yao maana hawajawakuta hata na ngozi ya Swala.
 
Shida inaanzia kwa Polisi wenyewe.
 
We jamaa unanikwaza sana kumhusisha hayati JPM na uonevu. Lini JPM alipuuza kero za wananchi walionewa? Acha zako.
[emoji23][emoji23]Kuna watu wana stress sana bila kumtaja jpm, na mmoja wapo ni tindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…