IEBC wadai Wakenya 6,553,858 walipiga kura

Hapana acha kije, Mungu kama aliwafundisha Mitume wake kwa kuwaadhibu ili mradi tu imjue yeye kuwa ndie Niko ambaye Yuko!! Itakuwa kwetu sisi, ambao watawala wameshupaza shingo, acha zivunjike. Kwa walio wa Kristo yaani wale wanaona maisha ya duniani ni kumchukiza Mungu, na wameamua kuishi kwa ajili ya Kristo, kwao kufa na faida na kuishi ni Kristo!!
 
Mambo ya bongo ya ache kama yalivyo kwa kuwa yako mikononi mwa Jehovah tayari anayafanyia kazi. Wakati wake utakapofika majibu yake utayaona mubashara bila chenga. All in all be blessed for your concern
 
Kama una mawazo ya upinzani mwaka 2020 kushika dola unapoteza muda kifo chake kilichafika
Endelea kuota mchana, kama Mungu asivyotaka kumuondoa Shetani wakati uwezo anao. Hivi hufikilishi hata kichwa chako kidogo!! Sasa huyo unaemtegemea kuua upinzani, tena wakati unaanzishwa alikuwa shule, pole sana. Nakuambia haitakuja kutokea, mpaka Yesu arudi.
 
Forget that mkuu,

Guess what?
Sikumchagua jpm but2020 nitamchagua JPM apige kazi miaka mitano mingine .
Na Watanzania wengi watafanya hivyo.
Unamlisha nani ujinga wako, wewe ni nani, mbona hutuambia ulimchagua nani? Kura ushaambiwa ni siri, na tena hata ukiletewa karatasi yako uliyopigia kura hautaitambua abadani. Leo unakuja na hoja mufilisi kabisa, eti nyoko nyoko kat....kule.
 
2020 itakua kawaida tu kama 2015 tu.

Duuh! Raila kafanya kama Maalim Seif wa CUF alivyofanya Tanzania Visiwani na Mhe Jecha aliendelea licha ya kususa kwa Maalim kama Raila! Dr Shein alishinda kwa 99% na sasa Uhuru atashinda kwa 98.2%, kufa kifaana eh!
 
Unamlisha nani ujinga wako, wewe ni nani, mbona hutuambia ulimchagua nani? Kura ushaambiwa ni siri, na tena hata ukiletewa karatasi yako uliyopigia kura hautaitambua abadani. Leo unakuja na hoja mufilisi kabisa, eti nyoko nyoko kat....kule.
Machungu.
 
Kaka am sure you know the dynamics of Kenyan politics, trust me without a competition against Odinga, voters from larger Central normally goes into apathy. They usually vote against him rather than vote for whoever is of their preference.

This was one of the arguments between NASA leaders when they were selecting their flag-bearer. The issue by Kalonzo and team back then was if they select Raila, then they should be ready to deal with massive turnout amongst Uhuru's supporters, but if they choose someone less abrasive, Central will slump into apathy and only a handful diehards would bother.
 
yani hao waliojitokeza kupiga kura hawafikii hata idadi ya watu waliompigia kura odinga kwenye ule uchaguzi uliofutwa!!
ama kweli watu wameamua kususa na inaelekea kuwa hata baadhi ya wapiga kura wa uhuru na jubilee nao wamesusa...!
 
Yesu harudi tena mkuu
 
Unamlisha nani ujinga wako, wewe ni nani, mbona hutuambia ulimchagua nani? Kura ushaambiwa ni siri, na tena hata ukiletewa karatasi yako uliyopigia kura hautaitambua abadani. Leo unakuja na hoja mufilisi kabisa, eti nyoko nyoko kat....kule.
Wewe unamtaja Yesu alafu unatukana unaetofautiana nae nyoko nyoko. Ndio nn sasa, hovyo.
Acha ushamba.
 
Wewe unamtaja Yesu alafu unatukana unaetofautiana nae nyoko nyoko. Ndio nn sasa, hovyo.
Acha ushamba.
Mshamba na limbukeni ni wewe, unaleta ujinga kwenye mambo ya msingi.
 
TUME DHALIMU LIITWALO IEBC LINAFAA KUCHUKULIWA HATUA, CHEBUKATI NA WENZAKE 200 WAFUNGWE JELA KWA UDHALIMU MKUBWA TULIOUSHUHUDIA HATA BAADA YA MAHAKAMA KUWAPA AHUENI WAKARUDIE UCHAGUZI ULIO BORA.
 
TUME DHALIMU LIITWALO IEBC LINAFAA KUCHUKULIWA HATUA, CHEBUKATI NA WENZAKE 200 WAFUNGWE JELA KWA UDHALIMU MKUBWA TULIOUSHUHUDIA HATA BAADA YA MAHAKAMA KUWAPA AHUENI WAKARUDIE UCHAGUZI ULIO BORA.
Tim Choice! Ulizamia wapi jombaa?
 
Endelea na mtazamo wako lakini nakuapia uchaguzi wa2020 itakuwa guru na haki na magufuli atatawala tens, chuki zako dhidi ya utawala huu hazina nafasi
 
Chapaneni sasa, hamna namna tena,mmekataa kuchukuana kwa heshima pamoja na undugu.
Mmekataa kugawana mchuzi kwa haki na kupelekea dhulma kwa ndugu zenu pamoja na kudharauliana....tunangojea mkazipige sasa,tutaupokea mkoa utakaotaka kujiunga na Tanzania hii tukufu.
 
Reactions: Oii
Kwa mtazamo wangu Tanzania itakua supa pawa Afrika yetu Mashariki, tamu hii inapendeza moyoni,kweli chuki,ukosefu wa haki pamoja na dharau huzaa hasira na hasara.....hahahahh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…