IEBC wadai Wakenya 6,553,858 walipiga kura

IEBC wadai Wakenya 6,553,858 walipiga kura

Siku zote Kenya kwenye kura za marudio Wakenya huwa hawajitokezi sana, angalia historia ya kura za marudio kwenye maeneo bunge.
Kingine huu uchaguzi haukua na ushindani hivyo hata wengi wa wanaomuunga mkono Uhuru hawakua na hamasa ya kuacha biashara wakapange foleni kumpigia kura ilhali hakua na upinzani.

Kingine ambacho husababisha watu kutoka ni pale wakati pana ushindani baina ya wabunge.

Kuhitimisha kuna gatuzi ambazo zilifungwa kabisa baada ya wafuasi wa Raila kuziba maeneo yote na kufanya fujo.
sasa wajameni kama wapiga kura walikuwa ni wastani wa millioni 6.5 mbona kenyata keshapata milioni7
 
Back
Top Bottom