Hili swali nilikuwa najiuliza kila siku, juzi tu nimemuuliza jamaa mmoja alikuwa na pesa sanaa siku za nyuma sasa
ivi yuko ovyo vibaya, sasa alinijibu ifatavyo...Mungu alituumba akatupa utashi, roho ya kujua mema na
baya..yaani Mungu katupa uhuru wa kuchagua nifanye lipi niache lipi, naweza kusema kuwa Mungu alimuumba
bidanamu katika tungo tata sanaa amabayo hata ye mwenyewe pengine hana uhakika kama utafika ama
la..kwanini angalia kitabu cha mwanzo cha wakristo..tunaona Mungu anamjaribu mtu anayeitwa Abraham
akamchinje mwanae..kumbe Mungu anamtega ajue anamsikiliza ama la..hiii ni dhahiri kuwa maamuzi yako kwako
lakini pia kuna utata yesu mara nyingi alisema IMEEANDIKWA KUWA...mfano tunaona Yuda alivyomsaliti Yesu
ilikuwa imeesha andikwa...conclusion..Je yuda angekomaa na Yesu bila kumsaliti ingekuwaje..je kwa kesi ya
Abraham kujaribiwa na Mungu unaichukuliaje..je Mwenyezi Mungu hana uhakika nasi nini tutafanya mbeleni...I see full of
contradiction!