Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Who are the 144,000 of Revelation 7 and 14?Imeandikwa idadi ya watu watakao ingia Mbinguni ni Watakatifu 144,000 Yaani kila kabila la Israel watakaoingia Mbinguni ni Watakatifu 12,000 Mambo ya Ufunuo wa Yohana hayo.... hivyo na wewe lazima utakuwepo kwenye kabila moja wapo la waisrael kati ya hayo 12 Swali je wewe kwa kujipima... unafuata amri kumi za Mungu na je Unaweza kujitizama ukajiona kama u mtakatifu na unaweza enda Mbinguni.... je huna wivu ja unapenda watu wote au unampenda jirani yako kama unavyojipenda wewe? huibi kama ufisadi n.k je ni rahisi kwa tajiri kwenda mbinguni? je watakatifu wangapi wameshapita kukamilisha hiyo idadi ya 144,000 je kuna nafasi ngapi zimebakia?
[h=1][/h]