Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Bold-Umetumia nini kujua hilo?Hapana.
Leo hii mtu akianza kutangaza kwamba watu wake na waume wanaweza kujamiiana bila kinga, kwa maana ana dawa ya UKIMWI, ilhali kiukweli hana, wenye akili wote watapinga na kuuliza kuhusu hiyo dawa ya UKIMWI ikoje na inafanya kazi vipi.
Nadhani unajua kabisa huwezi kutoa madai yoyote bila kuwa na utafiti unao back up madai yako
Bold-Unarudia kosa lile lileVivyo hivyo, mnavyosema kuna mungu mwenye majibu yote na dawa zote, ni wajibu wa wenye akili kuhoji. Hata kama kwa kweli hayupo.
Nini kimekufanya useme hayupo?
Umejuaje haipo?Kutokuwepo kwa dawaa ya UKIMWI si sababu ya wenye akili kutokuhoji habari ya kuwepo kwa dawa ya UKIMWI.
Haipo au tu hatujajua ni ipi?
Unaweza kuwa na ushahidi kuwa haipo [usiniambie huna namna ya kuthibitisha hilo,laa sivyo usingesema haipo]
Umejuaje kuwa hayupo?Kutokuwepo kwa mungu si sababu ya wenye akili kutokuhoji habari ya kuwepo kwa mungu.
Una findings gani zinazokuambia kuwa hayupo?
Una uhakika hayupo au unadhani tu hayupo?