If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?


"concept"
unataka tuanze kucheza semantics tena.

me nimeona umeelewa vema nilichosema. sema the idea is against your already-established-faith so you'll by any means dismiss it.

so lets just agree to disagree with our idea of God.

debates huwa zina mwisho....
 
if God beyond logic? or does he defy logic? those two are not the same....

yes i see we cannot use logic to explain his timeless "nature"

but untill you answer my first question, we will have no way to know the other of his characteristics

Unapo zungumzia kuhusu Mungu itakubiadi uanze kusahau kutumia "If's, But's, not's etc.

Either God He is what He said He is or He is not, there is no between than.

Ndio maana nikakupa mfano hai.
Kivipi Mikate 5 na Samaki 2 walishe watu elfu tano na mabaki yake Vikapu 12? Anza kutumia reasoning yako hapo na tuone kama utakuja pata jibu.

SASA NIKURUDISHE KWENYE HISABATI.

Kuna somo la Factorial Notation, unalikumbuka?

Examples: When asked to calculate the following 7! your solution will look something like: 7! = 7 x 6 x 5 x 4 x 3 x 2 x 1 = 5040. Your calculator will have a key that will perform this operation for you.

Huoni jibu lako linakaribia 5000

Now there was 5 breads + 2 Fish = Ni sawa na kusema kulikuwa na Vipande 7 vya chakula.

Now, hivyo Vipande 7 vya chakula ukivifanyia Factorial Notation si ndio ile 7! NILIYO KUONYESHA HAPO JUU.

Huoni inajibu ile ya watu ELFU TANO! Na mabaki ndio ya watu 40 yaliyo jaza vikapu 12.

Lakini, in the real world, how can you get a Factorial Notation of the tangible?

NDIO MAANA NASEMA TENA: GOD IS ABOVE LOGIC.
 
Alipo anza kujibu kwa kutumia "KAMA" teyari amesha tumia assumption na post yake yote ina base kwenye assumption na inakuwa fallacious.

"semantics"

ungependa mtu kama Kiranga aulizaje swali kama hilo?
 

By all currently availabke evidence, the existence of god idea is nothing more than an ancient fiction that cannot stand the test of modern scrutiny.
 

God is not an IDEA. Hapo umekosea tena.
 

that was clearly typo i meant is.

sidhani kama kuuliza kuhusu mungu na kuweka if ni tatizo. its your way of complicating things.

unfortunatley sikusoma advanced maths. the knowledge I have is purely out of interest.

So God defies logic?
 
"semantics"

ungependa mtu kama Kiranga aulizaje swali kama hilo?

Ni shauri yake kushindwa kuuliza swali katika usemi sahih, kwani mimi nikiuliza swali linalo husu sayansi, si natakiwa nitumie lugha sahihi, sasa why not God Haters. I don't care. A wrong question is a wrong question. Period.
 
If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written.
But there's free will. So, you can choose or not to go to hell?
Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?

Free will is that make us choose what to do ..not the consequences.
Second point there is no hell ....is just code for destruction .When you heat something with that magnitude of heat sehemu yake haita kuwepo tena .Adhabu ya dhambi ni mauti sio kuunguzwa milele kama wengine waelewavyo.Mungu tunaambiwa ni upendo je umewahi fikiria mtu kuchomwa milele? Hakuna kitu kama hicho..na wala biblia hajichanganyi wasomaji ndio wachichanganyao.Mfano Yesu alisema samehe saba mara saba mara sabini:Saba ni code ya the highest point...kind of infinite....kama vile sisi waswahili tunaposema "mara kumi ungefanya hivi ama vile" hapa kumi imetumika kama ni"bora zaidi" na si kama namba.

Last question of yours:...answers
Nobody is forcing God to do anything. Yeye ndio alisema nendeni duniani mkazaane na kuijaza nchi....neno forcing limezingatia nini wewe kulitumia?
 
that was clearly typo i meant is.

sidhani kama kuuliza kuhusu mungu na kuweka if ni tatizo. its your way of complicating things.

unfortunatley sikusoma advanced maths. the knowledge I have is purely out of interest.

So God defies logic?

Ni kosa kutumia "IF" kwa Mungu asiye na Shaka ndani yake. It is spiritually wrong and morally wrong. Kuto kujua sheria hakukufanyi kuto kuhumiwa kama umefanya kosa.

I did Math ndio maana yule God Hater kaniweka kwenye IGNORE LIST, maana anajuwa kuwa mimi nafahamu kuwa yeye hawezi kudebate na mimi. I see things ambazo wengine wanaweza wasione na wakafikiria amepatia. Ndio maana ananikimbia.

1. Logic is for you and not God.
2. God doesn't need Logic.
 

Sir, I salute you.
 

Nikiwa njiani, niko njiapanda, njia inagawanyika kulia na kushoto. Bado sijaamua nitachukua njia ya kulia au kushoto, kabla sijaamua kuchukua njia ya kulia au kushoto, mungu anajua nitachujua njia gani kabla mimi sijachukua?
 
its not about me (well it is considering its not my choice to exist). its about him. why mseme ni All-loving kisha atengeneze kifo/uwezekano wa kifo?

Hili swali, licha ya danadana zote, halijajibiwa.
 
Naona Mmasai anajibu post za wengine. Kaazi kwer kwer. Jamaa kaamka 5AM yupo kwenye ligi. Msiba huu.
 
Dah! salute sana...
 
You are saluting a classic, prototype "Deus ex machina".

so u are the God hater, nilikuwa najiuliza anamuonglea nan.. a classic prototype "deus ex machina", why dont u quote him and say that to his face? no u cant, u scared of him.. haha, Kirangaa
Ishmael, get over here bro
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…