Unapo zungumzia kuhusu Mungu itakubiadi uanze kusahau kutumia "If's, But's, not's etc.
Either God He is what He said He is or He is not, there is no between than.
Ndio maana nikakupa mfano hai.
Kivipi Mikate 5 na Samaki 2 walishe watu elfu tano na mabaki yake Vikapu 12? Anza kutumia reasoning yako hapo na tuone kama utakuja pata jibu.
SASA NIKURUDISHE KWENYE HISABATI.
Kuna somo la Factorial Notation, unalikumbuka?
Examples: When asked to calculate the following 7! your solution will look something like: 7! = 7 x 6 x 5 x 4 x 3 x 2 x 1 = 5040. Your calculator will have a key that will perform this operation for you.
Huoni jibu lako linakaribia 5000
Now there was 5 breads + 2 Fish = Ni sawa na kusema kulikuwa na Vipande 7 vya chakula.
Now, hivyo Vipande 7 vya chakula ukivifanyia Factorial Notation si ndio ile 7! NILIYO KUONYESHA HAPO JUU.
Huoni inajibu ile ya watu ELFU TANO! Na mabaki ndio ya watu 40 yaliyo jaza vikapu 12.
Lakini, in the real world, how can you get a Factorial Notation of the tangible?
NDIO MAANA NASEMA TENA: GOD IS ABOVE LOGIC.