If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Unapo zungumzia kuhusu Mungu itakubiadi uanze kusahau kutumia "If's, But's, not's etc.

Either God He is what He said He is or He is not, there is no between than.

Ndio maana nikakupa mfano hai.
Kivipi Mikate 5 na Samaki 2 walishe watu elfu tano na mabaki yake Vikapu 12? Anza kutumia reasoning yako hapo na tuone kama utakuja pata jibu.

SASA NIKURUDISHE KWENYE HISABATI.

Kuna somo la Factorial Notation, unalikumbuka?

Examples: When asked to calculate the following 7! your solution will look something like: 7! = 7 x 6 x 5 x 4 x 3 x 2 x 1 = 5040. Your calculator will have a key that will perform this operation for you.

Huoni jibu lako linakaribia 5000

Now there was 5 breads + 2 Fish = Ni sawa na kusema kulikuwa na Vipande 7 vya chakula.

Now, hivyo Vipande 7 vya chakula ukivifanyia Factorial Notation si ndio ile 7! NILIYO KUONYESHA HAPO JUU.

Huoni inajibu ile ya watu ELFU TANO! Na mabaki ndio ya watu 40 yaliyo jaza vikapu 12.

Lakini, in the real world, how can you get a Factorial Notation of the tangible?

NDIO MAANA NASEMA TENA: GOD IS ABOVE LOGIC.
Mkuu, ubarikiwe sana... Nakusoma... Safi sana...
 
so u are the God hater, nilikuwa najiuliza anamuonglea nan.. a classic prototype "deus ex machina", why dont u quote him and say that to his face? no u cant, u scared of him.. haha, Kirangaa
Ishmael, get over here bro

Hujajibu hoja.

Unaleta vioja.

Kabla hujaniita god hater thibitisha kwamba yupo.

How could I hate something I do not acknowledge?
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa njiani, niko njiapanda, njia inagawanyika kulia na kushoto. Bado sijaamua nitachukua njia ya kulia au kushoto, kabla sijaamua kuchukua njia ya kulia au kushoto, mungu anajua nitachujua njia gani kabla mimi sijachukua?

Wako binadamu wana uwezo huo itakuwa Mungu.Kuna calculation tabia , matamanio yako,na hali uliyonayo muda huo....can make precisely projection. Haiusiani na free willing kuweza ku project kitu kiusahihi.Kusingekuwa na dhambi kama hakuna free will we not automated as other may suggest.

Binadamu wengi wanatimia 10% ya bongo zao kutokana na imperfection...kidogo siku hizi na zijazo uwezo wa wengi utaongezeka .Just juzi wanasayansi hawakujua dunia ni tufe kutokana na horizon uduara haukuwa dhahiri kwao.
Kwa sasa Gravitational Force si kama uijuavyo ...kuna ufahamu mpya there are antimatters etc.

Ipo siku wengi uwelewa hao utakuwa mzuri tuu
 
Kuna binadamu anayeweza kujua with 100% precision binadamu mwingine atachukua njia gani katika njiapanda?

Achikia mbali prediction. Naongelea 100% certainty.

Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
 
so u are the God hater, nilikuwa najiuliza anamuonglea nan.. a classic prototype "deus ex machina", why dont u quote him and say that to his face? no u cant, u scared of him.. haha, Kirangaa
Ishmael, get over here bro
Unajua huwa nashangaa mbona jamaa anafanya hivyo, wakati jamaa namjua huwa sio wa kukubali kirahisi pote huwa ni mtu wa kujenga hoja hata ukienda kule siasani yupo fit, ila nimegundua Ishmael ni wa noma sana jamaa ana vitu adimu sana...
 
Last edited by a moderator:
so u are the God hater, nilikuwa najiuliza anamuonglea nan.. a classic prototype "deus ex machina", why dont u quote him and say that to his face? no u cant, u scared of him.. haha, Kirangaa
Ishmael, get over here bro

Mkuu the kid knows me very well. Muulize kwanini AMENIWEKA KWENYE IGNORE LIST YAKE? Anaogopa hata kusoma posti zangu. I feel sorry for the kid.

NDIO maana anakesha hapa ili ajipe moyo, maana the kid is depressed and has no hope in life. The only thing this kid knows is to HATE GOD.
 
I understand the practical and placebo like importance of the god idea in pacifying the masses, dealing with anxiety, depression, hopelessness etc.

But that does not make god real outside of the context of a placebo effect.
 
Kuna binadamu anayeweza kujua with 100% precision binadamu mwingine atachukua njia gani katika njiapanda?

Achikia mbali prediction. Naongelea 100% certainty.

Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?

Ndugu unajibu lako unalotaka ambalo una data lukuki ya ku support ama ni nini?

Kama snipper wafanyavyo calculation za wind speed, direction to make precisely shots. If any factor change may alter predictions.
Kuna mtu juzi ka predict word cup final mtu atakaye funga goli mpaka dakika na nitabiri sio randomly guy kusema coincidence.

Kujibu swali lako vizuri ni kuwa sijuhi na kwa kuwa huyo mtu anayeweza fanya ulivyouliza simjuhi haifanyi kuwa hakuna mtu kama huyo.Itakuwa kama wewe ambaye unadai kuwa Mungu the highest being hayupo simply kwa kuwa hajahakishiwa.Hata ktk ku prove hypotheses wanatumea neno hushahidi umeshindwa ku prove sio kuhakikisha hicho kitu hakipo
 
Sniper wana uweo wa kujua 100% kwamba watapiga target kabla ya kupiga target?

Huyo aliyetabiri world cup alikuwa na ubakika 100% k2amba jua litachomoza siku ya fainali za World Cup?

Do you even understand what 100% is?

Unafahamu tofauti ya prediction na knowledge of the future?

Kama hujui binadamu mwenye uwezo wa kijua nitqchukua njia ya kukia au ya kushoto, kwa nini unasema "wako binadamu wenye uwezo huo, itakuwa mungu"?

Ina maana hapo ulikuwa unabwabwaja tu bila kujua unachoandika?

Kabla ya kusema mungu anajua nitachukua njia ya kulia au kushoto, unaweza kunithibitishia kwamba yupo at all?
 
Mkuu the kid knows me very well. Muulize kwanini AMENIWEKA KWENYE IGNORE LIST YAKE? Anaogopa hata kusoma posti zangu. I feel sorry for the kid.

NDIO maana anakesha hapa ili ajipe moyo, maana the kid is depressed and has no hope in life. The only thing this kid knows is to HATE GOD.

poor kid.. he has a lot to learn.
 
Back
Top Bottom