Ishmael Do you accept reasoning or do you frown upon reasoning?
Mimi nilibahatika kufanya Hisabati ya juu, wakati ule tulikuwa wachache sana tulio fanya Applied and Pure Mathematics, sasa nafikri unaelewa kuwa hata Hisabati kaanzisha Mungu. Kwenye Hisabati kuna reasoning kubwa sana, lakini bado hiyo reasoning inafuata na kuheshimu mipaka yote aliyo weka Mungu.
Lakini, je, utawezaje kureason kuhusu Mungu asiye na Mwanzo? Wapi utaanzia kumfikiria? Because our God is timeless and eternity, jambo ambalo kwenye Hisabati tunasema ni infinity, sasa logic itaanza kukuuliza, kivipi Yesu Mungu asiwe na mwanzo lakini awe ni Mwanzo. Sasa nitafikaje kwenye infinity? Is infinity there au ni assumptions tu za kusolve Hisabati? Au ndio zile Hisabati za integral ambazo ukisha pata jibu lazima uweke plus Constant, ingawa kwenye derivation ya hilo jibu unafumbia macho hiyo constant.
Ndio maana kila kitu kinabidi kuheshimu Mungu aliye anzisha na zivunja laws of Physics
1. Yesu katembea kwenye maji bila ya msaada wa machine au chombo. Hiyo ni kinyume na sheria za kifizikia. Mtu fulani anawez asema labda ni kwasabau ya viscosity, lakini, kwanini awe ni Yesu tu/pekee?
2. Yesu ka paa bila machine au chombo. Hapo kavunja sheria ya gravitation.
3. Yesu kageuza maji kuwa wine. Hapo unafahamu kuwa Chemical formula ya Maji sio ya Wine.
4. Yesu anazidisha Mikate na Samaki na kulisha watu zaidi ya Elfu tano. Hapo ndipo utalewa kuwa sheria ni kwa ajili yenu na sio Mtunga Sheria.
5. Achilia mbali kufufua watu kwa kusema Lazaro come OUT...
Ndio maana anaye pinga Yesu kuwa sio Mungu na anaye sema kuwa hakuna Mungu, WOTE WANAITWA WAPUMBAVUH.
Yesu ndie aliye wapa hizo logic, laws of physics, na blah blah zote, NA YESU HUYO HUYO anazivunja pale alipo taka, tena akiwa hapa duniani.
Now, sasa niambie, kwa kutumia reasoning, Kivipi Five loaves of Bread and Two fish, vilishe watu elfu tano?