If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?


na wengine tumeshaona kuwa wewe Ishmael imani na mafundisho yako holds no logical grounds and so whatever you say from now own about God will be fatuousness

For the theists in here that accept logic is part of God, pls do share your knowledge and allow as to question.
 
Last edited by a moderator:

Good, good! I like how you put it.
 
Good, good! I like how you put it.

Kama.mungu ananua kila kitu katika maisha yangu kabla mimi sijazaliwa, kama anajua nitakuwa mzuri au mbaya, na ujuzi huu ni 100% accurate na hauwezi kibadilika, kwa sababu kubadilika ni kum prove mungu weong, na kama mimi nazaliwa na.siwezi.kubadilisha alichojua tayari mungu, nikiishi vibaya nitakuwa na dhambi kweli?

Maana sina uwezo wa kubadilisha alichojua mungu.

Mungu ana haki ya kusema wewe umetenda mema utaenda mbinguni na wewe umetenda mabaya utaenda motoni wakati wanadamu hatuna uwezo wa jubadilisha maisha yetu kutoka kile alichokiona mungu?
 

This is the exact reason mtu kaenda kwenye "ignore list".
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, Mungu pamoja na kujua yaliyo mbele yetu, ametoa a freewill kwa kila binadamu. Option ya kachagua mema au mabaya unayo wewe mwenyewe hata kama Mungu anajua utachagua Y badala ya X.
 
Mkuu, Mungu pamoja na kujua yaliyo mbele yetu, ametoa a freewill kwa kila binadamu. Option ya kachagua mema au mabaya unayo wewe mwenyewe hata kama Mungu anajua utachagua Y badala ya X.

Akijua nitakachofanya kabla sijakifanya, na kama alichojua nitafanya siwezi kukibadilisha, sina freewill.

Nikiwa na freewill, hawezi kujua nitakachofanya kabla sijakifanya.

Freewill and gods perfect knowledge cannot mix.

This mixing is a contradiction.
 
This is the exact reason mtu kaenda kwenye "ignore list".
Nontheism Lies, Misconception, Misrepresenting BUSTED AND DEBUNKED

NON THEISTS COMMON ARGUMENT

By Kiranga
Kabla ya kuniambia mungu ananipenda, tafadhali thibitisha kwamba yupo
.



HERE IS THE ANSWER FROM THE SAME PERSON

By Kiranga
Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.



ANOTHER REPLY FROM A NON THEIST

By Free ideas
God is a complicated entity which requires a much more certificated explanation ..........
It can't be better than this.




ARGUMENT THAT NON THEISTS DON'T APPLY FAITH IN THEIR LIFE

By Kiranga

Sitaki kuamini, nataka kujua.

Sijashindwa kuthibitisha uwepo wangu, wewe ndiye umeshindwa kutaja framework na margin of error.

Uthibitisho wowote ambao hauna defined domain/ framework and margin of error ni ubatili.


HAPA SASA ANAONYESHA KUKUBALI IMANI KWA KUPINGA MADAI YAKE YA AWALI





HAPA ANASEMA KUWA YUPO ALLERGIC NA BELIEF

By Kiranga
I am allergic to belief.

I would rather know, thank you very much.
HUYOOOOO kesha anza kuonyesha tatizo katika UONGO WAKE WA ALLERGY


HAPA CHINI ANAFANYA FLIP FLOP NA KUKUBALI FAITH



NDUGU ZANGUNI,

Mimi sina la zaidi au la kuongeza, leo mmesha muelewa kuwa jamaa ni FLIP FLOP na SI MALI KITU, Ndio maana anatumia IGNORE LIST katika Debate.

Majibu mmesha yapata kuwa huyo Non Theist si Mali kitu
 
Go and find logic in God. Ukisha ipata tuletee hapa. Blah blahing won't help you.
 
Go and find logic in God. Ukisha ipata tuletee hapa. Blah blahing won't help you.

LOL do you even know how silly that sounds....1) a human that can fathom the illogical........2)and uses logic to defend it!! haha!

yes. i am officially leaving the thread.
 
Mkuu wa chuo so ningeuliza "opinions" na sio "ideas"?

point taken.....
Exactly, kwasababu opinions unaweza ukazisindikiza na facts na hoja zingine mbalimbali hata quotes za watu mbalimbali ndani ya JF na hata nje ya JF, wengine wanaweza wakatumia theories na Assumptions ambazo zipo kusindikiza Opinions
Lakini ukisema Ideas zangu ninamaana nitoe kichwani kwangu iwe cha ukweli au Uongo ili mradi ni ideas zangu, Inamaana nikitoa Ideas zikiwa za kwangu watu wakiniuliza maswali niwe tayari kuzitetea...

Ngojea nikupe mfano mmoja kuna huyu jamaa Free ideas alileta mada moja imo humu humu Jamii Intelligence yenye kichwa cha habari Niijuavyo Freemason, sasa ukisoma yale maelezo anadai yale ni mawazo yake na wala hajatoa sehemu yoyote zaidi ya kichwani kwake akielezea kitu kinachosikika, ebana ee watu walivyoanza kutiririka maswali mengine yalimshinda

Nadhani hapo umepata mantiki ninachomaanisha unapochukua kitu na kusema hizo ni Idea zako inamaana baadae unaposhindwa kukitetea ndio unaweza ukaanza kutukanwa na watu sasa, ila pia mtu unaweza ukawa na ideas zako mwenyewe tunaweza pia tukawa ma Aristotle au pia Ma Plato, kwasababu bado watu wanaendelea ku develop mambo...

Lakini kitu kinachomata zaidi ni facts, uhalisia ndio unatamba...
 
Last edited by a moderator:
Rebuke means: If someone is a DOG nitamwita Dog, that is the exactly meaning of rebuking, I will tell you black and white. No sugar coating and trying to make someone happy.

JIFUNZE BIBLIA

Matthew 16:23 Jesus turned and said to Peter, "Get behind me, Satan! You are a stumbling block to me; you do not have in mind the concerns of God, but merely human concerns

Was Jesus insulting Peter? You don't have to answer me.
 
LOL do you even know how silly that sounds....1) a human that can fathom the illogical........2)and uses logic to defend it!! haha!

yes. i am officially leaving the thread.
Because you can get any. Are you running too? So sad to miss you dear.
 

yes. go tell your fellow humans that they only have human concerns in mind.

the way you compare yourself to jesus is fascinating!!!!

you believe what you want to believe.

to each his own!!
 
Because you can get any. Are you running too? So sad to miss you dear.

i did tell you that you are the first christian i met online that doesnt accept that logic is part of god.

yes. "i am running"!!! missed you too already
 
yes. go tell your fellow humans that they only have human concerns in mind.

the way you compare yourself to jesus is fascinating!!!!

you believe what you want to believe.

to each his own!!
Oooh, so you didn't officially leave the thread. I see, haya ndio matatizo yanayo fanana na yule Bingwa Wa Ignore List. Muwe makini mnaposema na sio useme halafu ndio unaanza fikiria nini umesema.

FYI: You will NEVER Comprehend JESUS to eternity.

Words in RED are LIES and may the Lord Jesus forgive you for that,
 
i did tell you that you are the first christian i met online that doesnt accept that logic is part of god.

yes. "i am running"!!! missed you too already

Nimekupa USHAIDI WA Mikate 5 na Samaki 2 KULISHA Watu Elfu 5 na mabaki kuwa VIKAPU 12. Nikakuomba kwa mikono miwili UNIONYESHE LOGIC, Hutaki, lakini unacho fahamu ni kubisha tu. Kubisha bila ya Ushaidi ni BURE kabisa.

Basi Nikakuomba unitafutie any Logic Kwenye Biblia nayo hutaki na ukasema you are leaving the thread? Here you are once again na madai ya logic ambayo umeshindwa kuyasaidia.

Please my dear housegirl I need you here, ni mada tu na nothing personal ndio maana situmii ignore list kama yule mwenye kuweka mtu kwenye ignore list kama vile anamfahamu, ni aibu ile,
 
Last edited by a moderator:
i did tell you that you are the first christian i met online that doesnt accept that logic is part of god.

yes. "i am running"!!! missed you too already
Ngoja nikuonyeshe logic unayo ipenda na umekaa kimya kwasababu unaipenda

By Kiranga
I am allergic to belief.

I would rather know, thank you very much.
HUYOOOOO kesha anza kuonyesha tatizo katika UONGO WAKE WA ALLERGY
By Kiranga
Inherently I do not have a problem with faith.
Here is where some choose to have total faith in an invisible god while others choose to have only a minimal amountn of faithbased on.rationality and gradually converge towards knowledge.


Je, Unaipenda hiyo logic hapo juu ya God Hater?
 
Ishmael
I have already addressed your query on the miracles in the previous pages. you never bothered to quote and reply.

this is OFFICIALLY, TRULY, my last post, repeating that, unfortunately I cannot discuss with you Ishmael and your followers, who apparently can fathom the "illogical". (double you tee ef??) Not only that, but dare use logic to back their claims.

Kwa watu mnaosoma na kweli kuelewa maan ya logic, wataelewa. Mkuu wa kanisa Ishmael asiwadanganye as far as logic and understanding God is concerned.


****and dont you guys just like the way Ishmael fills the whole page unecessarily repeating the same things and kuongeza pages?? sometimes i feel like anafanya hivyo ili comments za wengine zisionekane. Good Job.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…