unachofanya ni kuhamisha tatizo kwa designer wako, huyo designer nani alimdesign at first place? Au alitokea tu by chance?
Unachofanya ni kuhamishia ubinadamu wako kwa designer wako,nani kakuambia huyo designer ana mwanzo?kwa vile wewe una mwanzo na mwisho basi unafikiri kila design ni mwanzo-mwisho?
Kwa vile una mama watoto,basi unafikiri kila kinachoexist ni male-female?
Think outside the box!
Prove kwamba hayupo!
Na wewe nani kakuambia binadamu ana mwanzo?
The burden of proof is on you who has made a claim that a god exist.
Unasema mungu yupo bila kuweza kuthibitisha na unataka yule anayesema hayupo athibitishe.
Yaani wewe unaedai hayupo unaona huna haja ya kutoa ushahidi wa madai yako
Huu sijui ni ugonjwa gani!
Huwezi kuthibitisha uwepo wa mungu bado unasema mungu yupo.
Wewe ni mzima kichwani kweli?
Unasema kitu kipo huku unashindwa kuthibitisha uwepo wake.
Lakini wewe unasema Mungu hayupo na unaweza kuthibitisha sio?
Lakini wewe unasema Mungu hayupo na unaweza kuthibitisha sio?
Endelea kutafuta maharifa, ila habari ya kumwachia mungu kila gumu lililo mbele yako ni akili vivu!!Huenda kwa habari ya huko kuitwako kuweko au kutokuwepo kwa Mungu kuna mengi ya kutafuta kujua
Mkuu ambacho hakipo ni hakipo, sasa sijui unataka uthibitisho gani!? Halafu hapohapo umekiri humu kwamba huwezi kuthibitisha existence yake, ifike muda lazima ukubali tu kwamba haya mambo ni ya kukaririshwa tu, hata kama yupo sidhani kama yupo kama hivi ambavyo binadamu wanamuelezea, mwenye upendo wote, uwezo wote na mwenye kujua yote!!
Endelea kutafuta maharifa, ila habari ya kumwachia mungu kila gumu lililo mbele yako ni akili vivu!!
Yaani wewe unaedai hayupo unaona huna haja ya kutoa ushahidi wa madai yako
Huu sijui ni ugonjwa gani!
kitu ambacho hakipo kinathibitishwaje asa ww ambae unasema unakiona au unadai kipo lete proof
Assumptions za wengi zinadisplay that you are thinking of the wrong god. Tatizo tunataka kum-fit Mungu katika mazingira ambayo tunayoishi sisi.
Kwa mfano wengine wanauliza kama Dunia iliumbwa na Mungu, basi Mungu alitokea lini? Jambo la kwanza la kutambua ni kwamba Mungu wa biblia hadhuriwi na muda (time), nafasi (space) wala maada (matter).
Kama anakuwa affected na time, space and matter huyo sio Mungu! Ninaomba kuanzia mbali kidogo;
1. 1. Time, space and matter inaitwa continuum (all of them has to come into existence at the same instance) vinategemeana. Sababu kama kuna matter but no space, WHERE would you put it? Kama kuna space and matter but no time, WHEN would you put it? Hauwezi kuwa na time, space or matter independently, they have to come into existence simultaneously.
2. 2. Sasa basi, Biblia inajibu haya maswali kwa maneno kumi; In the beginning (TIME), God created the heavens (SPACE) and the earth (MATTER).
3. 3. Sasa kuna time, space and matter, created a trinity of trinities: Time is PAST-PRESENT-FUTURE, Space has LENGTH-WIDTH-HEIGHT, Matter has SOLID-LIQUID-GAS.
4. 4. So tuna trinity of trinities created instantaneously, and the God who created them has to be OUTSIDE of them. IF HE IS LIMITED BY TIME HE IS NOT GOD!
Mtu aliye create hiyo device yako (simu au computer) hayupo ndani ya computer running around in there changing the screen. The God who created the universe is outside the universe, He is above it, beyond it, in it, through it, He is unaffected by it!
Your questions assume a limited God na hapo ndio kuna tatizo, kama ningeweza kumuelewa Mungu kwa ubongo wangu asingestahili Ibada yangu!
Inaweza ikaonekana kama nimetoka nje ya mada kidogo lakini my point is, when we try to fit God in the context of this universe (designed by Him) tunakua tunakosea mno! Ku-question the existence of God, metaphorically speaking, ni kama numbers za kwenye computer yako zikaanza ku argue kwamba hazijawa created au hakuna intelligent designer kwa sababu tu hazimuoni ndani.
kama kweli mungu yupo kwanini biblia imemzungumzia katika hali ambayo ni ya kufikirika? ivi unawezaje kuamini kwamba maneno yametoka kwa mungu wakati hakuna aliyemwona?
kitu ambacho hakipo kinathibitishwaje asa ww ambae unasema unakiona au unadai kipo lete proof
sioni uwepo wake .niko na milango mitano ya fahamu hakuna ata mmoja unao sense uwepo wake uyo mungu .ww mwenyewe unaamini kwa faith , out of faith mungu ni hadithi zinazopitwa na wakati kadri science inavyokua.. time will tellUmejuaje kuwa hakipo?
Hilo swali umeshajiuliza kweli wewe au unaandika tu?
Hebu tuwekee hapa huo utafiti ulioufanya hadi kukufanya useme hayupo!
Labda walete agano la 3 la biblia kuendana na mabadiliko ya kisayansi!!sioni uwepo wake .niko na milango mitano hakuna ata mmoja unao sense uwepo wake uyo mungu .ww mwenyewe unaamini kwa faith , out of faith mungu ni hadithi zinazopitwa na wakati kadri science inavyokua.. time will tell
The burden of proof is on you who has made a claim that a god exist.
Unasema mungu yupo bila kuweza kuthibitisha na unataka yule anayesema hayupo athibitishe.
sioni uwepo wake .niko na milango mitano ya fahamu hakuna ata mmoja unao sense uwepo wake uyo mungu .ww mwenyewe unaamini kwa faith , out of faith mungu ni hadithi zinazopitwa na wakati kadri science inavyokua.. time will tell