If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

unachofanya ni kuhamisha tatizo kwa designer wako, huyo designer nani alimdesign at first place? Au alitokea tu by chance?

Unachofanya ni kuhamishia ubinadamu wako kwa designer wako,nani kakuambia huyo designer ana mwanzo?kwa vile wewe una mwanzo na mwisho basi unafikiri kila design ni mwanzo-mwisho?

Kwa vile una mama watoto,basi unafikiri kila kinachoexist ni male-female?
Think outside the box!
 
Na wewe nani kakuambia binadamu ana mwanzo?
 
Prove kwamba hayupo!

The burden of proof is on you who has made a claim that a god exist.

Unasema mungu yupo bila kuweza kuthibitisha na unataka yule anayesema hayupo athibitishe.
 
Na wewe nani kakuambia binadamu ana mwanzo?

Hili nalo nilijibu kweli?!
Huwa sipendi kupoteza muda nikishaelewa motives za mtu.
Ahsante mkuu,endelea kuamini vile uonavyo sawa,sioni sababu kukesha nikitetea jambo ambalo ni obvious!

Majibu utayapata tu as long as wewe ni kiumbe mwenye YHWH imprints.
Thanks.
 
The burden of proof is on you who has made a claim that a god exist.

Unasema mungu yupo bila kuweza kuthibitisha na unataka yule anayesema hayupo athibitishe.

Yaani wewe unaedai hayupo unaona huna haja ya kutoa ushahidi wa madai yako

Huu sijui ni ugonjwa gani!
 
Huwezi kuthibitisha uwepo wa mungu bado unasema mungu yupo.

Wewe ni mzima kichwani kweli?

Unasema kitu kipo huku unashindwa kuthibitisha uwepo wake.
 
Lakini wewe unasema Mungu hayupo na unaweza kuthibitisha sio?
 
Huenda kwa habari ya huko kuitwako kuweko au kutokuwepo kwa Mungu kuna mengi ya kutafuta kujua
 
Mkuu ambacho hakipo ni hakipo, sasa sijui unataka uthibitisho gani!? Halafu hapohapo umekiri humu kwamba huwezi kuthibitisha existence yake, ifike muda lazima ukubali tu kwamba haya mambo ni ya kukaririshwa tu, hata kama yupo sidhani kama yupo kama hivi ambavyo binadamu wanamuelezea, mwenye upendo wote, uwezo wote na mwenye kujua yote!!

Endelea kutafuta maharifa, ila habari ya kumwachia mungu kila gumu lililo mbele yako ni akili vivu!!
 
Mimi kumuachia Mungu sipo kabisa mana kama ni kweli aliumba mwanadamu na kumkabidhi milki yote ya duniani ni jukumu langu sasa kumiliki na kutawala yeye kazi yake iliishia hapo
 
kitu ambacho hakipo kinathibitishwaje asa ww ambae unasema unakiona au unadai kipo lete proof

Assumptions za wengi zinadisplay that you are thinking of the wrong god. Tatizo tunataka kum-fit Mungu katika mazingira ambayo tunayoishi sisi.

Kwa mfano wengine wanauliza kama Dunia iliumbwa na Mungu, basi Mungu alitokea lini? Jambo la kwanza la kutambua ni kwamba Mungu wa biblia hadhuriwi na muda (time), nafasi (space) wala maada (matter).

Kama anakuwa affected na time, space and matter huyo sio Mungu! Ninaomba kuanzia mbali kidogo;

1. 1. Time, space and matter inaitwa continuum (all of them has to come into existence at the same instance) vinategemeana. Sababu kama kuna matter but no space, WHERE would you put it? Kama kuna space and matter but no time, WHEN would you put it? Hauwezi kuwa na time, space or matter independently, they have to come into existence simultaneously.

2. 2. Sasa basi, Biblia inajibu haya maswali kwa maneno kumi; In the beginning (TIME), God created the heavens (SPACE) and the earth (MATTER).

3. 3. Sasa kuna time, space and matter, created a trinity of trinities: Time is PAST-PRESENT-FUTURE, Space has LENGTH-WIDTH-HEIGHT, Matter has SOLID-LIQUID-GAS.

4. 4. So tuna trinity of trinities created instantaneously, and the God who created them has to be OUTSIDE of them. IF HE IS LIMITED BY TIME HE IS NOT GOD!

Mtu aliye create hiyo device yako (simu au computer) hayupo ndani ya computer running around in there changing the screen. The God who created the universe is outside the universe, He is above it, beyond it, in it, through it, He is unaffected by it!
Your questions assume a limited God na hapo ndio kuna tatizo, kama ningeweza kumuelewa Mungu kwa ubongo wangu asingestahili Ibada yangu!
Inaweza ikaonekana kama nimetoka nje ya mada kidogo lakini my point is, when we try to fit God in the context of this universe (designed by Him) tunakua tunakosea mno! Ku-question the existence of God, metaphorically speaking, ni kama numbers za kwenye computer yako zikaanza ku argue kwamba hazijawa created au hakuna intelligent designer kwa sababu tu hazimuoni ndani.
 
kama kweli mungu yupo kwanini biblia imemzungumzia katika hali ambayo ni ya kufikirika? ivi unawezaje kuamini kwamba maneno yametoka kwa mungu wakati hakuna aliyemwona?
 
Mkuu, I once had questions kama uliyonayo, ni vizuri kujiuliza hayo maswali ukiwa na nia ya kutafuta na kujua ukweli. Lakini ni vibaya kujiuliza na kujijibu mwenyewe na kuridhika na majibu yako bila kutafuta ukweli.
All you know is what you've learnt, and all you have learnt is not all there is to know. So no matter what you know, you still don't know something. What you don't know is much greater than what u've learnt. So we are basically living out of a fraction of information that life has to offer. That very reality means that all humans are living from the position of ignorance. The unknown is much larger than the known, therefore the infinity of the unknown magnifies our finiteness. The best way ni kujifunza continuously ili kuondoa doubts na questions ambazo zinawasumbua wengi wetu.
Anza na hii video https://www.youtube.com/watch?v=rcspY2_JXvk
Then angalia debates za Kent Hovind against scientists/ atheists.
 
Umejuaje kuwa hakipo?

Hilo swali umeshajiuliza kweli wewe au unaandika tu?

Hebu tuwekee hapa huo utafiti ulioufanya hadi kukufanya useme hayupo!
sioni uwepo wake .niko na milango mitano ya fahamu hakuna ata mmoja unao sense uwepo wake uyo mungu .ww mwenyewe unaamini kwa faith , out of faith mungu ni hadithi zinazopitwa na wakati kadri science inavyokua.. time will tell
 
sioni uwepo wake .niko na milango mitano hakuna ata mmoja unao sense uwepo wake uyo mungu .ww mwenyewe unaamini kwa faith , out of faith mungu ni hadithi zinazopitwa na wakati kadri science inavyokua.. time will tell
Labda walete agano la 3 la biblia kuendana na mabadiliko ya kisayansi!!
 
The burden of proof is on you who has made a claim that a god exist.

Unasema mungu yupo bila kuweza kuthibitisha na unataka yule anayesema hayupo athibitishe.

You avoided my argument. Belief in God is irrelevant. God is necessary for morals to be real.

You have no objective basis for moral values or duties without God. That's the pertinent fact you cannot refute.
 
sioni uwepo wake .niko na milango mitano ya fahamu hakuna ata mmoja unao sense uwepo wake uyo mungu .ww mwenyewe unaamini kwa faith , out of faith mungu ni hadithi zinazopitwa na wakati kadri science inavyokua.. time will tell

You have provided no objective basis (true irrespective of individual belief) whatsoever. Even child rape cannot be objectively wrong if non theism is true. If we are just chemical animals, chemicals causally determine everything. There is no free-will or choice. Why is a child rapist wrong if he has no choice? Why is one chemical illusion of morality the 'right' illusion? Why does your chemical illusion constitute a moral duty upon another chemical animal who has a different illusion of raping children as 'good' for him?

You offer no evidence to justify your belief in No God. You offer excuses for why you don't need evidence.
 
Back
Top Bottom