Electromagnetism
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 482
- 126
Wanasayansi wapo biased hawaamini ktk mungu. Hivyo basi kuwategemea wao kuleta ukweli itakuwa tunajidanganya. Ila tujiulize hii mifuko ya rambo, magari, piki piki, simu, pc nk hakuna aliyevitengeneza vimetokea tu naturalally, kama yupo aliye vitengeneza basi nasi yupo aliyetutengeneza. Mungu
Sema.MWENYEZI MUNGU NI mm0ja tu,Hakuzaa wala hakuzaliwa,Na hakuna anayefanana naye hata mmoja.
Mwenyezi Mungu Mkubwa.....
Amekuelewa kweli huyu mtu wa imani pasipo kuuliza? 😁Naomba nifafanue kwa niaba ya mleta mada,
Kama kwa mfano anajua(Mungu)kwamba itanyesha, hakuna atakayebadili hilo, ni lazima itanyesha.
Kama anajua kuwa Eiyer utaenda motoni, hata upige swala tano, moto uko palepale.Je uelewa huu ni sawa?
Ufafanuzi tafadhali.
kwa kauli yako hapa inaonyesha upendo wa Mungu ni conditional si ndiyo?Unajua maana ya kukataa kumkubali Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako?
Maana yake wewe unakana huruma ya Mungu ya kuuokoa ulimwengu baada ya dhambi kuingia duniani
Ni sawa na wewe uamue kwenda kumlipia mwanao fedha alizokopa ili asipelekwe jela,lakini ili zile pesa zipokelewe kule unakoenda kuzilipa inatakiwa tu kauli ya mwanao kukubali wewe mzazi wake kumlipia na watazipokea na kumfutia mwanao mashitaka,yeye anakana na kudai kuwa hataki hilo
Unadhani nini kitatokea kama sio kuja kukamatwa na kipelekwa jela?
Hivi unaweza kuuliza "hivi unadhani kama mwanangu akikana kukubali mimi kumlipia fedha anazodaiwa ataenda jela kweli" wakati unajua kabisa majibu yake?
Ili umpate Yesu hutakiwi kulipa hela wala hataki chochote cha kidunia kutoka kwako bali yeye anataka kukuepusha la laana ya milele,alijitoa bila wewe kuomba bali ni kwa upendo wake tu ili wewe usiaibike milele,mkubali tu na utaona maisha yako yakibadilika kuanzia sasa na utazijua siri nyingi sana za Mungu ambazo kuna watu wanakesha JF kuzitafuta,na utazipata bila kulipia hata senti moja
Welcome to the Kingdom of God!
Ndio nini hicho?kwa kauli yako hapa inaonyesha upendo wa Mungu ni conditional si ndiyo?
God is a myth.
Excuse Me, Allah did not create Adam, et al.
Thibitisha!
Kujua ni kupanga?
Unaweza kuwa hujanielewa
Namaanisha hivi:
Ukijua kesho mvua itanyesha ndio unakuwa umepanga inyeshe?
Excuse Me, Allah did not create Adam, et al.
Yupi ndo Mungu wa kweli kati ya hawa Allah, Jehovah, Jesus, Krishna, Budha?
Allah kiarabu
Jehova kiebrania
Jesus ni Kingereza
Allah kiarabu
Jehova kiebrania
Jesus ni Kingereza