If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Ndio...hutaki zithibitishe?

Itakuwaje laws of physics zenye limits na kufuata logic zimthibitishe mungu asiye na limit wala kufuata logic?

Mungu anayeweza kuthibitika kwa laws of physics ni mungu kweli au physical phenomena tu?

Laws of physics zitathibitishaje omnipotence, omnipresence, omni benevolence and omniscience?
 
Kiranga

Taja unataka uthibitisho uwe wa namna gani...kama hutaki wa namna hii.

Niambie wewe unayesema mungu yupo.

Mimi sikubali kwamba mungu yupo, utaniulizaje kuhusu uthibitisho ninaoukubali?

To be very broad.Nipe uthibitisho usiojipinga.

Uthibitisho wako wa kutumia sheria za physics unajipinga.

Kwa sababu mnatuambia mungu yuko juu ya logic,laws of physics zinafuata a certain logic, sasa itakuwaje laws of physics zinazofuata logic ziweze kumthibitisha mungu aliye juu ya logic?

Unajipinga mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
This all is the same old faith based pie in the sky kool aid.

Slaves were enslaved with a promise to a better life in heaven, using bible verses. While living in a squalid subhuman bondage.

Some black people are still in mental slavery todate.

And.they are still.singing Kumbaya my lord, kumbaya.

Despite all that is evident.
god-haters_big.jpg
 
Niambie wewe unayesema mungu yupo.

Mimi sikubali kwamba mungu yupo, utaniulizaje kuhusu uthibitisho ninaoukubali?

To be very broad.Nipe uthibitisho usiojipinga.

Uthibitisho wako wa kutumia sheria za physics unajipinga.

Kwa sababu mnatuambia mungu yuko juu ya logic,laws of physics zinafuata a certain logic, sasa itakuwaje laws of physics zinazofuata logic ziweze kumthibitisha mungu aliye juu ya logic?

Unajipinga mwenyewe.
tumblr_m80g5iNzPx1rri77io1_500.jpg
 
Sasa kama unapewa uthibitisho unaukataa unasema huu uko hivi mara uko vile .Je si uungwana kukuuliza unataka uthibitisho wa namna gani?

Kwa nini unasema "mnatuambia" mimi na nani?
Ndio maana hutaki ku comment kwenye proof niliyotumia The First & Second Law of Thermodynamics kuonyesha uwepo wa the highest being ..zaidi ya kusema huo sio uthibitisho .
Mungu yuko juu ya logics gani?nimesema wapi?Vitu vyote vina logic kushindwa kuelewa ni tatizo la humans kutumia 10% ya akili tuu wasivyoelewa au huviita miujiza hakuna logic kama wewe kushindwa kuelewa kuwa creation need creator and there is no chain of an infinite events/force , there must be the source/creator.

Unasema najipinga mwenyewe , naomba uonyeshe wapi najipinga mwenyewe.
 
Second Law of Thermodynamics inasema kila kitu kisichotengenezwa (rekebishwa) kitakongoroka.

Mungu hana wa kumtengeneza.

Na yeye naye atakongoroka?

Si unatumia laws of physics kumthibitisha mungu wako?
 
Second Law of Thermodynamics inasema kila kitu kisichotengenezwa (rekebishwa) kitakongoroka.

Mungu hana wa kumtengeneza.

Na yeye naye atakongoroka?

Si unatumia laws of physics kumthibitisha mungu wako?
Peleka mythologies zako huko.

TULETEE USHAIDI WA NEGATIVE GOD.
 
Niambie wewe unayesema mungu yupo.

Mimi sikubali kwamba mungu yupo, utaniulizaje kuhusu uthibitisho ninaoukubali?

To be very broad.Nipe uthibitisho usiojipinga.

Uthibitisho wako wa kutumia sheria za physics unajipinga.

Kwa sababu mnatuambia mungu yuko juu ya logic,laws of physics zinafuata a certain logic, sasa itakuwaje laws of physics zinazofuata logic ziweze kumthibitisha mungu aliye juu ya logic?

Unajipinga mwenyewe.
images
 
Second Law of Thermodynamics inasema kila kitu kisichotengenezwa (rekebishwa) kitakongoroka.

Mungu hana wa kumtengeneza.

Na yeye naye atakongoroka?

Si unatumia laws of physics kumthibitisha mungu wako?

Wewe nimekwambia soma bandiko langu lote vizuri.
The second Law of Thermodynamics
imetumika kuelezea kuwapo kwa Muumba na kupinga evolution. Kwa hiyo wanao amini evolution na kuwa hakuna Muumba ndio ulitakiwa kuwaambia hivyo kama mimi nilivyo wambia.
 
Naona teyari ile syndrome yenu inajidhihirisha. LAZIMA UTUKANE, tena unamtukana Mtume wa Allah wako. Astaghafurillah.

WEWE huna tofauti na GOD HATERS AKA JESUS HATERS

Your jesus gets his behind kicked pretty severely all the time.
 
Hahaaaa issues over substance. You may add a on red so it can be read.
If we go through your post in this thread there a lot of spell errors and gramma issues(When you wrote " If the laws of physics are so.limited, how could you use them to make.a case for the unlimited? " 1.why you have comma/period between so and limited 2.After comma why you didn't start with Capital letters) but since I understand your main point I let it go.

Please comment on what I presented regarding the existance of God.

Comments on what is not relevant when I referred the laws of physics to prove the Existence of God.

FYI.
I have seen you break communication through your English is not applied to me a lot of online dictionaries.
You try to insult , is not gonna work I'm not gonna get angry neither..nor react, I will respond.
You been asking for scientific prove , you have been given ...now comment on it.What you want?

Hii ni wanaodhani English itafanya point iwe nzito:Hata Machizi , mazuzu, wajinga nchi kama USA &UK wanaongea English...suala ni point za kueleweka

Pole mkuu,this is the problem of debating with the so called "militant atheists". They are usually highly insulting and profoundly terse in their comments to theists and they are vile, rude, and highly condescending. Their language is full of insults, profanity, and blasphemies. Basically, no meaningful conversation can be held with them.. The man you are debating with is one of them. Mara aite watu wendawazimu,mara mamaimuna,mara watumwa nk. Hakuna kazi rahisi duniani kama kubisha na kutukana.
 
Hakuna mwenye ubongo wenye uwezo wa kufikia kiwango kinachotakiwa kunikasirisha hapa.

Kunikasirisha inabidi ufikie uwezo fulani wa akili, ambao sijauona bado hapa.

Do not mistake a passionate reply for anger.

Mhh! Mkuu kwa hiyo wote humu ni vilaza? Kwa uwezo upi ulionao wa akili hadi udhani hakuna mwenye ubongo huo?

Mara ujiite mystery,mara sijui kitu gani. Kitu gani kipya au cha tofauti ulichonacho ili kudhani uko tofauti?maana kama ni kuhoji uwepo wa mungu wewe sio wa kwanza kuleta hoja hiyo,na wewe umekua ukikopi hoja zile zile zilizoulizwa toka mwanzo na kuziuliza hapa,kipi cha tofauti ulichonacho hadi uone wengine humu wana bongo ndogo?

Nadhani una tatizo la kusahau,nikukumbushe. Kwenye mada ya free idia ya something from nothing. Mkuu wa chuo alikuuliza/alikuomba umtoe Ishmael kwenye ignore list,ukajibu ukasema amekukasirisha huwezi kumtoa,alafu leo unakuja kusema hakuna wa kukukasirisha humu..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenikumbusha habari ya Sangarara na vitu vyake adim!!!
Ha ha ha!!

Kiukweli namshukuru sana Mungu kwa ajili ya Ishmael, jamaa ana zaid ya vitu ADIM! Namsoma kwa karibu mno, na sometimes nasoma majibu yake hadi mara2 nipate kuelewa nini anasema!

Much respect brother Ishmael!!
Mungu akubariki sana.
hahahahah Sangarara alitaka kutupa SIRI ZA UFALME WA MBINGUNI na vitu adimu vingine, halafu sijamuona hapa, Ishmael yupo safi sana...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom