If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

EXACTLY. hata concept ya [a world where death is impossible+world where death is impossible] is difficult for some people to grasp.

hivi Mkuu wa chuo mbona sionagi unatoa mawazo yako? we ni kulike tu na kuquote watu na kuwashabikia!!!! its weird dude

Hapa hakuna anaetoa mawazo yake,haya yanayojadiliwa hapa yalishajadiliwa miaka mingi/miaka nenda rudi na watu wengi.

Tunachofanya hapa ni kurudia idea zile zile zaidi kuweka maneno yetu machache sana.

Kama kuna mtu anadai hapa anatoa mawazo yake/idea zake mwenyewe 100% atakua muongo sana.
 
Last edited by a moderator:
lets make JF a better place and stop with the insults

Did i insult any one here? As i said earlier,a dog does not believe God's existence,a dog is an atheist.

To tell a dog,stone or potato about God's existence so that they can believe you need a divine intervention. The same applies to me,if i want my lovely dog,Osama to believe in God i need divine intervention.

I insulted no one here!
 
Hapa hakuna anaetoa mawazo yake,haya yanayojadiliwa hapa yalishajadiliwa miaka mingi/miaka nenda rudi na watu wengi.

Tunachofanya hapa ni kurudia idea zile zile zaidi kuweka maneno yetu machache sana.

Kama kuna mtu anadai hapa anatoa mawazo yake/idea zake mwenyewe 100% atakua muongo sana.
Watu wanataka kuanza kujichukulia maujiko tusipoangalia tunaweza tukaambiwa hata Theory of relativity ni mawazo yao, kumbe kina Einstein walisha develop muda mrefu tu hata kabla ya kuzaliwa kwao, Mtu anadiriki kusema ya kwamba eti yote anayoongea hapa ni mawazo ya kutoka kichwani kwake atleast watu wengine wana reasoning nzuri...
 
Mkuu, you did not insult anyone here zaidi ya kufumbua watu macho. Sasa kama kufumbua watu macho kumekuwa insult, basi ndio maana it is hard if not impossible kwa your lovely dog, Osama to believe in God.
 
You don't understand Physics ...you didn't mention antimatter in your definition, I did. Kukukosoa wewe ambaye huja ongelea antimatter kwenye definition yako ya Physics.
Unajifanya kuniuliza kama najua antimatter wakati mimi ndio niliyoleta hiyo kitu. ..unatia aibu kwa kweli.

Mkuu, safi sana. Hii ndio dawa yake. Una muexpose yule anayependa ligi. Safi sana.
 
EXACTLY. hata concept ya [a world where death is impossible+world where death is impossible] is difficult for some people to grasp.

hivi Mkuu wa chuo mbona sionagi unatoa mawazo yako? we ni kulike tu na kuquote watu na kuwashabikia!!!! its weird dude

Ni concept rahisi kuliko ya kwa nini binadamu wanakufa natural death.

Jinsi cell zinavyojizalisha is easy to live forever than to die.The only thing is stopping a biological clock then no aging no getting weak and die.

The question is when and where this will happen? Seek the answer , I have mine.
 
Last edited by a moderator:
Watu bwana wanaweza kihoji udhibitisho na maswali kama how , why lakini wanashindwa ku reason kirahisi tuu kuwa kiumbe kama yeye kuna Muumbaji.
Tunao amini Uumbaji na kuwepo kwa Mungu sio wote ni kwa imani tuu ila tupo tuliojilidhisha.Na bila hata kutumia vitabu vya imani ambayo ni bayana ya mambo yasiyo onekana na matarajio ya mambo yajayo.

Ni hivi vyote ni sayansi ambayo akili zetu ndogo na kutoweza kusafiri na speed ya hayo tunaona ni miujiza.Hata walioanza kugundua umeme kupitia nguvu za usumaku walitwa wachawi , vitu vingi vinaonekana wavithibitiki kutokana hali yetu.Kama unashindwa kuangalia direct source of energy kama jua kwa hata saa moja na lilivyo mbali , unalilia kutaka kumuuona Muumba wa vyote ?
Kubisha siku zote ni rahisi.
 
We hayo unayotoa ni mawazo yako kweli? inamaana kweli kabisa umeyatoa kichwani mwako? saa nyingine inatolewa mifano mpaka inaingia akilini, yaani saa nyingine mtu anaandika mpaka unafurahi... kwa mfano yale mambo uliyoandika kule kwenye Evolution yaani hakuna mtu mwingine ambaye amewahi kuyazungumza ni ya kichwani kwako kabisa!? Dah! kama ndio hivyo safi sana...

uuuummm this is DEFINITELY not what I meant!! Never mind Mkuu wa chuo
 
Last edited by a moderator:
Ni concept rahisi kuliko ya kwa nini binadamu wanakufa natural death.

Jinsi cell zinavyojizalisha is easy to live forever than to die.The only thing is stopping a biological clock then no aging no getting weak and die.

The question is when and where this will happen? Seek the answer , I have mine.

the question is why the possibility for death was created by an all-loving God
 
Hapa hakuna anaetoa mawazo yake,haya yanayojadiliwa hapa yalishajadiliwa miaka mingi/miaka nenda rudi na watu wengi.

Tunachofanya hapa ni kurudia idea zile zile zaidi kuweka maneno yetu machache sana.

Kama kuna mtu anadai hapa anatoa mawazo yake/idea zake mwenyewe 100% atakua muongo sana.

what i meant is contributing....whether ulisoma. ulidiscover. ulipewa through devine intervention. just say something. anyways isiwe kesi.....
 
the question is why the possibility for death was created by an all-loving God

Excuse You!
Death is consequence , with freewill you need regulations.Adam and Eve there were perfect ...they were using 100% in contrast to me and you or other who we call our genius we use 10%, with freewill they know what they did and they know consequences. Just imagine freedom without control .

There will be no death , no sickness "in the future".
 
Mkuu, you did not insult anyone here zaidi ya kufumbua watu macho. Sasa kama kufumbua watu macho kumekuwa insult, basi ndio maana it is hard if not impossible kwa your lovely dog, Osama to believe in God.

Kabisa mheshimiwa. Kuelimisha/kushawishi mbwa kuhusu uwepo wa Mungu sio mchezo.

Naamini Mungu,natamani mbwa wangu kipenzi Osama aamini kama mimi ili twende wote mbinguni

kushawishi mbwa wangu,paka na masufuria yangu pale nyumbani yajue Mungu yupo sijatukana mtu.
 
Watu wanataka kuanza kujichukulia maujiko tusipoangalia tunaweza tukaambiwa hata Theory of relativity ni mawazo yao, kumbe kina Einstein walisha develop muda mrefu tu hata kabla ya kuzaliwa kwao, Mtu anadiriki kusema ya kwamba eti yote anayoongea hapa ni mawazo ya kutoka kichwani kwake atleast watu wengine wana reasoning nzuri...

Mheshmiwa nilisema awali,kudebate na militant atheists ni kazi kweli kweli. Alafu wengi wao huwa ni mashoga/wasagaji.

Kama wanavyotaka waonekane wenye akili na kujua mambo mengi kama sio yote kuliko wengine,unawaacha. Unaishi na -------- kadri ya upumbavu wake...yangu macho. Wewe endelea maana naona kama una moyo wa aina yake.
 
:A S wink: hahahahah tuendelee mkuu tunaweza tukaongeza imani zaidi...
 
Mie nimewaaza wee,ndio nimeona niulize hivi,ila msiniseme eti mswahili anauliza swali juu ya swali..nauliza hivi,wewe mtoa mada umesema Mungu ndiye huona future,hivyo keshajua everything,then unatuuliza sie viumbe kama tunaweza kubadili destiny,sasa unatuuliza sie kwani ni Mungu?si umuulize huyo Mungu aliyekwishaona mwisho?sie tunawezaje kubadili destiny yetu ilhali hatujaijua bado?sisi tunaishi tukiitengeneza destiny yetu hatua kwa hatua,na mapito hayo ya "hatua kwa hatua" yana maana kubwa kwetu,Mungu anaona mwisho,ila mie nadhani kuona huko hakutumii kubadili destiny zetu,tunazitengeneza wenyewe God doesn't change anything.Vinginevyo kama angeutumia uwezo wake huo kubadili destiny zetu,basi hata shetani asingeasi maana angetafutiwa dawa mapemaa,au ndio tuseme destiny ya shetani ni uasi?well,ni sawa but still yeye shetani kaitengeneza mwenyewe,not God.mie nimeona hivyo tuu,hayo maoni yangu na maswali magumu sitaki.hizi mada nyingine ngumu bhana,ah!
 
Excuse You!
Death is consequence , with freewill you need regulations.Adam and Eve there were perfect ...they were using 100% in contrast to me and you or other who we call our genius we use 10%, with freewill they know what they did and they know consequences. Just imagine freedom without control .

There will be no death , no sickness "in the future".

i have been through this with Eiyer and Ishmael in the previous pages. you have nothing new to offer, unfortunatley. acha tu.
 
Mkuu, you did not insult anyone here zaidi ya kufumbua watu macho. Sasa kama kufumbua watu macho kumekuwa insult, basi ndio maana it is hard if not impossible kwa your lovely dog, Osama to believe in God.

Ishmael ukija kuanzisha kanisa lako utakuwa unawaambia watu kuwa atheists ni mbwa?

as a christian you are supposed to be an example and here you are carried away by kaka km
 
Last edited by a moderator:
Kabisa mheshimiwa. Kuelimisha/kushawishi mbwa kuhusu uwepo wa Mungu sio mchezo.

Naamini Mungu,natamani mbwa wangu kipenzi Osama aamini kama mimi ili twende wote mbinguni

kushawishi mbwa wangu,paka na masufuria yangu pale nyumbani yajue Mungu yupo sijatukana mtu.

yes yes the chosen ones. we can see
 
Watu wanataka kuanza kujichukulia maujiko tusipoangalia tunaweza tukaambiwa hata Theory of relativity ni mawazo yao, kumbe kina Einstein walisha develop muda mrefu tu hata kabla ya kuzaliwa kwao, Mtu anadiriki kusema ya kwamba eti yote anayoongea hapa ni mawazo ya kutoka kichwani kwake atleast watu wengine wana reasoning nzuri...

*sigh*

what are you fussing about?? kisa kuuliza "mbona hutoi your ideas?" kwani nilivyoomba idea zako nilijua wewe ni Aristotle?
kwahiyo ningeulizaje labda? b'se nimewaza ni wangapi zaidi wamenielewa kimakosa!!!!!
 
Back
Top Bottom