If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

athiest.jpg.pagespeed.ce.wfMITRYtOU.jpg

hiyo siyo maana ya neno atheist, signature yako tu inaonesha hata lugha ni utata!
 
Hili swali lilikuwa linanisumbua sana kichwa wakati nikiwa shule,bahati mbaya mwalimu wangu(phd theology) naye alikiri kwamba hicho ni moja kati ya topic ngumu zaidi kwake kuelezea na kufundisha...
Kutokana na jibu lake nakumbuka nilimuuliza hivi ''najua kuwa mungu aliumba roho na si mwili,je nitakosea kama nikisema kwamba mwisho wa mwanadamu unaozungumziwa ni mwisho wa roho na mungu anajua kila kitu kuhusu mwisho wa roho na kosa la mungu ambalo hata yeye hawezi kujisamehe lilikuwa kuumba mwili ambao sasa unaweza kubadili/kuamua juu ya tamati ya roho ?''
Mimi nilijua yale ni mazungumzo ya kawaida kumbe jamaa aliona huyu dogo anamfundisha mungu kazi,nikasimamishwa masomo bila kuambiwa sababu ya kusimamishwa mpaka baada ya miezi miwili.
kwakuwa leo hii topic iko hapa kipindi ambacho nimeshabadili mtazamo wa kiimani siamini kuwa kitu kisichopo kinaweza kuwa na sifa kadhaa ,hata tusiporudi kujiuliza juu ya uwepo wa mungu swali la mleta mada linaturudisha kwenye uthibitisho kuwa mungu ni idea.
 
Watu waliosoma theology ya juu wanajua kwamba mungu ni idea tu, hayupo kiuhalisi.

Ila wengi wao hawasemi.hili kwa sababu wanaona idea hii hata kama haipo kiuhalisi, inasaidia kuleta mema duniani na kuwaweka wanadamu kwenye mstari.

Wakati wengine tunasema, uzuri wowote ukiwa umeanzia.kwenye uongo, unakosa kupata kilele cha uzuri.

Na binadamu akielimika, hahitaji kiamini mungu ili kufanya mazuri.
 
Mkuu unajichanganya mno..

Natoa mfano nawezaje sema Nyumba haipo kwa kurejelea dhana ya Nyumba Fulani?
Kusema Nyumba haipo kunamaanisha ilikuwepo ikatoweka...

Kufikiri kujenga Nyumba ni tofauti na kubisha kua Nyumba haipo..

Lazima ujue kitu unachosema hakipo..

Huwezi kusema Mungu hayupo Kama humjui na huwezi kuthibitisha...

Mimi nikiamua kusema Mungu yupo Kilimanjaro nawe ukaamua kupinga lazima uwe na facts...

Kwa nini kazima niwe na facts wakati kufikiri kitu tu kunafanya kitu kiwepo (kwa mujibu wako)?

Huoni kwamba uki.negate hilo unaweza kufikiri kwamba kitu kipo, na hapo hapo ukafikiri kwamba hakipo (hakiwezekani kuwapo)?

Sasa kama.unaweza kifikiri kwamba kitu kipo, na hapo hapo unaweza kufikiri kwamba hakipo, kipo au hakipo?

Kwa mujibu wa falsafa yako ya "ukifikiri kitu lazima kiwepo"?

Nikifikiri tu kwamba nina US dollar bilioni bilioni bilioni trilioni trilioni googol na ma googol hapo uswizi, hiloitamaanisha ninazo?

Si unadai ukifikiria kitu lazima kiwepo?

Nikifikiria kwamba mimi.ndiye mungu nikiyeumba dunia na ulimwengu wote kuweza kufikiria hivyo kunafanya fikra hiyo kiwa na uhalisi kwamba mimi ndiye mungu muumba kweli?

Unaona jinsi dhana yako isivyo na ukweli?
 
hiyo siyo maana ya neno atheist, signature yako tu inaonesha hata lugha ni utata!
Unajihami na kulilia kwa nini. I mean get a life young man. In God we Trust. Katengeneze hela yenu mtumie kama mnao ubavu.

in-god-we-trust1.jpg

  1. [h=3]Atheists lose latest legal fight over 'In God We Trust ...[/h]www.religionnews.com/.../atheists-lose-latest-legal...

    Religion News Service

    May 28, 2014 - [Eds: The word "tenant" in the 10th paragraph is in the original document.] (RNS) Atheists lost their case against the "In God We Trust" motto on ...

Unajihami na kulilia kwa nini. I mean get a life young man. In God we Trust. Katengeneze hela yenu mtumie kama mnao ubavu.

in-god-we-trust1.jpg

  1. Atheists lose latest legal fight over 'In God We Trust ...

    www.religionnews.com/.../atheists-lose-latest-legal...

    Religion News Service

    May 28, 2014 - [Eds: The word "tenant" in the 10th paragraph is in the original document.] (RNS) Atheists lost their case against the "In God We Trust" motto on ...

Kumbe kurukaruka kama kanga wa porini ni kawaida yako?
ni suala la muda tu, hizo takataka za mungu, freemasonry, wicca, satanism, na madudu yote ya kiimani hayatakuwa na nafasi popote, mwanga utarejea miongoni mwa wenye akili timamu!
 
Wapi naruka wewe. Nyie si mnatumia hela zetu zenye "IN GOD WE TRUST", sasa kwanini msitengeneze zenu za " In darwin you trust". HAIWEZEKANI na hamto weza kufanya hilo. Nyie mtabakia kuwa wafuasi wetu na mtafanya tunayo taka. SASA wapi akili zenu zilipo, Mmeshindwa kesi hiyo. Poleni sana.

Ndio maana nilisema kuwa NYIE NI TEGEMEZI hamna chenu zaidi ya kuwa TEGEMEZI YA SIE WENYE AKILI NA WAANZILISHI WA KILA KITU.

IN GOD WE TRUST
 
Kinachonifurahisha na kunipa faraja ni kuwa wote humu tutakufa tu. Sasa kama kufa ni kuzimika kimoja, TUTAJUA. Na kama kuna maisha na Mungu yupo, TUTAJUA.

Kifo ndio jibu
 
naona umeishiwa na hoja tayari!...unataka tujadili kitoto?...naweza pia kugeukia upande huo.
 
kwa hiyo wewe uoga wa kufa ndiyo kinachokufanya uamini kuna mungu?!!
 
1.Watu waliosoma theology ya juu wanajua kwamba mungu ni idea tu, hayupo kiuhalisi.

Ila wengi wao hawasemi.hili kwa sababu wanaona idea hii hata kama haipo kiuhalisi, inasaidia kuleta mema duniani na kuwaweka wanadamu kwenye mstari.

Wakati wengine tunasema, uzuri wowote ukiwa umeanzia.kwenye uongo, unakosa kupata kilele cha uzuri.

Na binadamu akielimika, hahitaji kiamini mungu ili kufanya mazuri.

1. Sio kweli. Hayo yatakua maoni/mawazo ya mtu mmoja yanayotokana na mtazamo wake. Hakuna kitu kama hicho.
 
Kumbe kurukaruka kama kanga wa porini ni kawaida yako?
ni suala la muda tu, hizo takataka za mungu, freemasonry, wicca, satanism, na madudu yote ya kiimani hayatakuwa na nafasi popote, mwanga utarejea miongoni mwa wenye akili timamu!

utasubiri sana wala mwanga hautarejea maana alieutoa keshakufa,giza ndio linazidi kutanda.
 
naona umeishiwa na hoja tayari!...unataka tujadili kitoto?...naweza pia kugeukia upande huo.
Hufahamu hata maana ya hoja. Nimekupa impeccable exhibit ya nyie kutumia hela zetu, halafu wewe unasema hoja. Hivi huwa mnatumia akili nyie.

KWANINI MNATUMIA HELA ZETU ZENYE "In God We Trust". Jibu swali.

ingodwetrust.jpg
 
Hufahamu hata maana ya hoja. Nimekupa impeccable exhibit ya nyite kutumia hela zetu, halafu wewe unasema hoja. Hivi huwa mnatumia akili nyie.

KWANINI MNATUMIA HELA ZETU ZENYE "In God We Trust". Jibu swali.

ingodwetrust.jpg

oh, i see umedhamiria!
kumbe wewe ni mmarekani, haya weka zote na zile alama zenu za pembe tatu na jicho, nyie wagalatia si ndiyo mlikuwa zinawaliza..au mshakubaliana na chama?!
 
Mimi nasema tena:

KWANINI MNATUMIE HELA ZETU ZENYE "In God We Trust"?

Lincoln-Cent-In-God-We-Trust.jpg
 
oh, i see umedhamiria!
kumbe wewe ni mmarekani, haya weka zote na zile alama zenu za pembe tatu na jicho, nyie wagalatia si ndiyo mlikuwa zinawaliza..au mshakubaliana na chama?!

Why do Atheists use US Dollars while consciously knowing that the monies carries the word IN GOD WE TRUST, which is against their belief?

CC: Free ideas, housegirl,
 
Last edited by a moderator:

Pengine hujui hata maana ya pesa/hela...hiyo ni means ya exchange naona swali lako ni irrelevant na mada iliyopo!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom