If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

ukweli haukwepeki!

Ukweli UPI?

Hivi Mimi nikiamua kusema naamini ng'ombe kaumbwa na Mungu unawezaje pinga?

Imani haina mipaka ndio maana naweza amini chochote pasipo mipaka ila ujuzi Una mipaka..

Nikisema Mimi naamini nimeumbwa na Mungu then wewe ukinipinga inamaana unajua juu ya uumbaji wangu tofauti na ninavyofikiri...

" imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo bayana ya yasiyoonekana"

Unawezaje kupingana na imani??

Kusema "naamini Mungu yupo"
ni tofauti na kusema
"Ninajua mungu yupo"
 
Hivi uwepo wewe unaweza kuuelezeaje labda?

Ukisikia "uwepo" unaelewa nini?

Kila kitu kwa context na framework yake.

Kwa hiyo, uwepo nao upo na context na framework pia.

Kuna uwepo wa kufikirika, ndio huo unaouongelea wewe wa dhana, kwamba ukiweza kukifikiria kitu kipo, kwa sababu umeweza kukifikiria.

But this is just abstract, not real.

Kwa sababu nishaonyesha hapo juu kwamba kuna vitu tunaweza kufikiria vipo, kitu kitakachomaanisha kwamba vipo, na hapo hapo tulafikiria kwamba havipo, kitu kitakachomaanisha kwamba havipo.

Kwa mfano, tuchukulie motokari.

Motokari unaweza kufikiria ipo.

Na unaweza pia kufukiria haipo, kwa maana ya kwamba unaweza kufikiria kwamba hakuna kitu kinachoweza kuenda kama motokari. Kuna primitive societies kibao.watu hawajaona magari mpaka leo wanaishi mosituni Amazon, Congo rainforest etc.

Sasa kama unasema kila kinachofikirika kipo, watu hawa wanavyofikiri kwamba ulimwengu hauna motokari, TV, video, simu, internet etc ina maana hivi vitu havipo?

Ukifikiri sana itaona kwamba kuwepo kwa dhana si kuwepo kwa uhalisi.

Kwa sababu unaweza kufikiri dhana ya kwamba wewe ulizaliwa kabla ya mama yako.

Lakini kuwepo kwa hii dhana hakaanishi kwamba wewe ulizaliwa kabla ya mama yako.

Kwa sababu ili wewe uzaliwe, ilibidi mama yako akuzae.

Kwa hiyo utaona, ingawa tunaweza kudhani kwamba inawezekana ukazaliwa kabla ya mama yako, dhana hii haina uhalisi.

Ndiyo kama habari ya mungu.

Ni dhana potofu tu.
 
Naona unajichanganya...

Dhana inatoka wapi?
 
kimepataje jina Kama hakipo?
anonymous+rolled+a+random+image+posted+in+comment+5+at+_7b6660c778faf450cd1fb5017b6f9103.jpg

Do Mermaids exist?
 
Naona unajichanganya...

Dhana inatoka wapi?

Dhana inatoka kichwani.

Just because naweza kudhani kwamba kuna mchaga anayekaa juu ya mlima Kilimanjaro anayesababisha vita kati ya Waisraeli na Wapalestina, kudhani hilo hakufanyi fikra hiyo iwe kweli.

Let's say, for tye sake of examining your thinking, the thinking that whatever is conceivable must be true, for example you hold that god exist. In your mind god must exist. And therefore, because god is conceivable, he exists, he must exist, because he is conceivable.

And I hold that god is inconveivable. And therefore, cannot exist, because he is inconceivable.

Your thinking will fail to tesolve this dispute.

Because it will come to the conclusion that god exists (due to your very conception of him) and does not exist (due to my conceiving the impossibility of gods existence) at the same time.

Your philosophy will hold that god exists and does not exist at the same time!

It's all discussed at length in the classics, if only you would take the trouble to read.
 
Ndo maana nikasema naamini...

Ukiamua kupinga kuamini kwangu it means you know better than....

Dhana hurejelea vitu mfano dhana ya neno "kitenzi"

Unawezaje kusema Alex hayupo?
 
Nani kapinga kuamini?

Unajua kusoma?

Unanisoma?

Unajua jinsi nivyoelezea ni jinsi gani kuamini hakuepukiki kwa mwanadamu?

Na jinsi gani hilo halimaanishi tuamini kila kitu?

Wewe ushasema kila kinachodhanika kipo, ukidhani Alex yupo, na mimi nikidhani Alex hayupo, Alex yupo au hayupo?
 
Kudhani hayupo kunatokana na kuwepo...

Kutokuwepo ni kinyume cha kuwepo..

Nidhani ALEX hayupo lazima kwanza kuwepo dhana ya uwepo...
 
Na ukiambiwa kwamba kabla ya kuwapo ninlazima kuwe na kutokuwepo utasemaje?

Unaweza kujenga nyumba ikawepo kabla ya kutokuwepo kwanza?

Na kabla hujajenga nyumba, pale ulipoifikiria tu, kabla hujaweka msingi, nyumba hii ikikuwepo au haikuwepo?
 
Kutokuwepo kabla ya kuwepo hakuwezi kujenga dhana
 
Ukweli UPI?

Hivi Mimi nikiamua kusema naamini ng'ombe kaumbwa na Mungu unawezaje pinga?

Imani haina mipaka ndio maana naweza amini chochote pasipo mipaka ila ujuzi Una mipaka..

Nikisema Mimi naamini nimeumbwa na Mungu then wewe ukinipinga inamaana unajua juu ya uumbaji wangu tofauti na ninavyofikiri...

" imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo bayana ya yasiyoonekana"

Unawezaje kupingana na imani??

Kusema "naamini Mungu yupo"
ni tofauti na kusema
"Ninajua mungu yupo
"

"Naamini Mungu Yupo, sijui kama yupo"
View attachment 173967
 
Kutokuwepo kabla ya kuwepo hakuwezi kujenga dhana

Unachosema hapa ni kwamba kama nyumba haipo, siwezi kuchora mpango wa kuijenga na kufanikisha kuijenga.

Nyumba zote zikizopo duniani zinadhihirisha uporofu wa fikra zako.

Kwa.maana zote zilianza katika fikra kisha zikajengwa na kuwa halisi.

Wewe unachotuambia.ni.kwamba fikra ni uhalisi.

Kwa mujibu wako, hatuna haja ya kujenga nyumba.

Kwa sababu tunaweza kufikiri tu mjengo mkubwa na bustani.mwanana, kisha tukahamia katika fikra hizo kama ni jumba la kweli, na likawa jumba bila kujengwa.

Kwa sababu.hakina fikra inayoweza kutokea bila kitu kuwapo.

Kwa hiyo nikoweza kufikiri kwamba nina jumba kama la Kim Dotcom kule New Zealand litatokea na kuwapo kweli.

Sasa kwa nini tunajenga nyumba na kupima viwanja kama unachosema ni kweli?

Kwa.nini tinafanya kazi kutafuta pesa ilhali tunaweza kudhani tu kwamba tuna mahela yasiyo mwisho bila kunyanyua kidole na hilo likawa kweli?
 
Mkuu unajichanganya mno..

Natoa mfano nawezaje sema Nyumba haipo kwa kurejelea dhana ya Nyumba Fulani?
Kusema Nyumba haipo kunamaanisha ilikuwepo ikatoweka...

Kufikiri kujenga Nyumba ni tofauti na kubisha kua Nyumba haipo..

Lazima ujue kitu unachosema hakipo..

Huwezi kusema Mungu hayupo Kama humjui na huwezi kuthibitisha...

Mimi nikiamua kusema Mungu yupo Kilimanjaro nawe ukaamua kupinga lazima uwe na facts...
 
Your son is calling you?
images

Umehama somo tena? najua ulikimbia haukusoma evolution, ukiona mtu anajiuliza kwa nini nyani bado wapo basi ujue hata basics za evolution alikimbia, kama unatakakujifunza tutaanzisha thread yake. Vipi, unampango wa kujibu maswali yangu au imeshindikana?
 
Mi nilisema tangu mwanzo katika ule uzi wa Evolution!.Kwamba kuna watu wanadhani evolution its all about manyani kuwa watu!.Mmoja wapo huyo hapo!.Mi simo maana nimeshaandika majibu humu hadi vidole vibauma lakinibhaelewi.
 
Mbona mada ni "IF GOD KNOWS THE FUTURE..." Kipofu weye?
 
Mi nilisema tangu mwanzo katika ule uzi wa Evolution!.Kwamba kuna watu wanadhani evolution its all about manyani kuwa watu!.Mmoja wapo huyo hapo!.Mi simo maana nimeshaandika majibu humu hadi vidole vibauma lakinibhaelewi.
athiest.jpg.pagespeed.ce.wfMITRYtOU.jpg
 
Back
Top Bottom