Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ni wazi kuwa hakuna mtu anayeweza ku-prove kwamba Mungu yupo na kama yupo hawezi kuaminika kwa asilimia 100% hata akienda mahakama ipi.
Naweza kusema watu huwa wanatoa evidences tu zenye kuelezea uwezekano wa uwepo wa Mungu.kwani Ku-prove(kuthibitisha) ni jambo linalotegemea imani husika ya individual.
japo Bibilia na vitabu vingine vinatumika kama evidence ya uwepo wa Mungu -pia tusisahau kwamba watu wanaweza wasikubaliane na viashiria vya aina yoyote vilivyoainishwa huko kama ni dalili za uwepo wa Mungu na hii ni kutegemeana na thinking perspective ya mtu.
Hivyo basi Kwakuwa jambo la ku-prove lina -rely zaidi kwa watu kuonyeshwa mahala mungu alipo na watu wamwone kwa macho na sio kutumia viashiria tu.
vilevile inaweza kutokea watu wakaonyeshwa huyo Mungu na wakatafsiri ni Alliens, ama ghost ama fiction tu.kwani umbile halisi la mungu ni wazi halijulikani.
Wakristo wamekuwa wakichora picha ya yesu - ku-portray Mungu na ni wazi inawezekana kwakuwa angalau yesu walimwona kwakuwa alikuwa binadamu. (Hali ni tofauti kwa Mungu Baba).
Yesu kristo aliwahi kukataa kuwaonyesha watu ishara isipokuwa ya kufa na kufufuka msalabani tu, na Muammad alisema hawezi kufanya miujiza, yoyote..All in all viashiria ndio vinavyotetea zaidi uwepo wa Mungu.
Kwa hiyo habari ya kuwepo kwa mungu ni imani tu.
Isiyo na tofauti na kuamini kuwapo kwa pembetatu duara katika Euclidean geometry?