Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Prove kwamba mungu yupo.
Prove kwamba hayupo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prove kwamba mungu yupo.
ha ha ha hivi hii mijadala bado IPO? Kiranga.. Ishmael na Eiyer hapa mtakesha Kama hamjaamua hii discussion IPO ktk ujuzi au imani?
Kama ni IMANI ni sawa na kubeba maji kwenye pakacha kwasababu kuamini kila MTU aweza amini chochote na asiamini chochote kwakuwa tu ni mambo yasiyoonekana...
Kama ni UJUZI hapo unaweza pata mshindi maana ujuzi Una kipimo na uthibitisho...
sasa je mpo kiimani au ujuzi?
hawa watu ndio shida yao hiyo nawaona wengi sana humu wanajiona wana akili sana, kuna mmoja anaitwa 1701 alisema kabisa watu wanaoamini Mungu hawana akili kwenye ile mada yake ya who create god? Lakini ukiangalia uwezo wake ni mdogo hata katika kujenga hoja, sasa hiyo kudharau watu wanaoamini Mungu ni msingi wa Imani yao ya Atheism!?
Ni wazi kuwa hakuna mtu anayeweza ku-prove kwamba Mungu yupo na kama yupo hawezi kuaminika kwa asilimia 100% hata akienda mahakama ipi.Prove kwamba mungu yupo.
Yeah, kama ilivyo virahisi katika kupinga bila ya kuleta ushahidi wa madai ya upingaji wako...it is always more difficult to fight against faith than against knowledge
Yeah, kama ilivyo virahisi katika kupinga bila ya kuleta ushahidi wa madai ya upingaji wako...
kuna kazi sana mkuu... yaani ni kazi kwelikweli!Mkuu hawa watu ni wa ajabu sana
Wao wanapinga bila kuleta ushahidi halafu wanasema kuwa wao hawahitajiki kutoa ushahidi
Kupinga tu bila kutoa ushahidi ni raisi sana!
I thought you said destiny is STATIC! hiyo milango ya nini sasa kama you can not change your destiny!
Prove kwamba hayupo!
Nice to see you here once again.ha ha ha hivi hii mijadala bado IPO? Kiranga.. Ishmael na Eiyer hapa mtakesha Kama hamjaamua hii discussion IPO ktk ujuzi au imani?
Kama ni IMANI ni sawa na kubeba maji kwenye pakacha kwasababu kuamini kila MTU aweza amini chochote na asiamini chochote kwakuwa tu ni mambo yasiyoonekana...
Kama ni UJUZI hapo unaweza pata mshindi maana ujuzi Una kipimo na uthibitisho...
sasa je mpo kiimani au ujuzi?
Nani kakwambia kuwa hakipo na umejuaje kuwa hakipo?Ambacho hakipo kinathibitishikaje kwamba hakipo?
Nice to see you here once again.
Tatizo kubwa ni hili: God is not a "scientific" person with "biological" attributes that can be proven in the lab or using logical findings which are based on assumptions. God said in the Bible that "He is the Spirit".
Hivyobasi, ili kumwelewa Mungu inabidi utumie Vitabu vyake na sio otherwise, kama ilivyo, ili kuelewa Hisabati inabiti utumie vitabu vya Hisabati na sio otherwise. Lakini inashangaza kuwa wanaojiita kuwa na elimu wana kubali kuwa, huwezi soma Psychology kwa kutumia kitabu cha somo la kujifunza Kiswahili, lakini wanataka kusoma kuhusu Mungu kwakutumia kitabu kinacho husu Fizikia. Je, Kitabu cha Fizikia kinaweza kukufundisha lugha ya Kiswahili?
Hivyo basi:
1. Ujuzi hauwezi kumtambua Mungu wala kumpinga Mungu maana hauna uwezo wa kuelewa nini maana ya Roho.
2. Faith "Imani" ambayo ni evidence of things not seen ndio pekee ina hold watertight.
3. Yesu ni Mungu
Watakabahu
Imani haina mipaka waweza amini chochote....
Kuna imani za "UONGO" ambazo hata non theism is part of it na kuna imani ya kweli "BELIEVING IN JESUS".
Hivyo, basi, kuna imani moja tu ambayo ni ya kweli ambayo ni kupitia Yesu. Zinginze zote ni bayana.
you can not change your destiny at all, but stop being heartless, challenge your limitation.
Do you know your limitation yet?.......what benchmark did God set forth to you? . then what strategies have you 'created to surpass the God's Benchmark destiny?What if i challenge my limitation and win it....!
that's right..Your destiny is in your handsActually i beliave that i can make my own destiny and even God bless what i plant.
Nani kakwambia kuwa hakipo na umejuaje kuwa hakipo?
Ambacho hakipo na hakijawai kuwepo, kivipi kiwe na jina?
Wewe ndie ulie sema hakipo, halafu unataka mimi nikuonyeshe?Kama kipo nionyeshe basi.
I don't have time with blahing blahing, support your notions.Si kila kilicho na jina kipo! We vipi wewe?
In the movies, yes, I did.Ushawahi kumwona Bigfoot wewe? Au Loch Ness monster?
Wewe ndie ulie sema hakipo, halafu unataka mimi nikuonyeshe?
I don't have time with blahing blahing, support your notions.
In the movies, yes, I did.
Sasa jibu maswali yangu kwa scientific evidence
You are not the first one to run, mwenzako kaniweka kwenye IGNORE LIST, you can do the same. ChaoIt's impossible to have a respectful and intelligent discussion with you.
I'm out.