If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Ni wazi kuwa hakuna mtu anayeweza ku-prove kwamba Mungu yupo na kama yupo hawezi kuaminika kwa asilimia 100% hata akienda mahakama ipi.

Naweza kusema watu huwa wanatoa evidences tu zenye kuelezea uwezekano wa uwepo wa Mungu.kwani Ku-prove(kuthibitisha) ni jambo linalotegemea imani husika ya individual.

japo Bibilia na vitabu vingine vinatumika kama evidence ya uwepo wa Mungu -pia tusisahau kwamba watu wanaweza wasikubaliane na viashiria vya aina yoyote vilivyoainishwa huko kama ni dalili za uwepo wa Mungu na hii ni kutegemeana na thinking perspective ya mtu.

Hivyo basi Kwakuwa jambo la ku-prove lina -rely zaidi kwa watu kuonyeshwa mahala mungu alipo na watu wamwone kwa macho na sio kutumia viashiria tu.

vilevile inaweza kutokea watu wakaonyeshwa huyo Mungu na wakatafsiri ni Alliens, ama ghost ama fiction tu.kwani umbile halisi la mungu ni wazi halijulikani.

Wakristo wamekuwa wakichora picha ya yesu - ku-portray Mungu na ni wazi inawezekana kwakuwa angalau yesu walimwona kwakuwa alikuwa binadamu. (Hali ni tofauti kwa Mungu Baba).

Yesu kristo aliwahi kukataa kuwaonyesha watu ishara isipokuwa ya kufa na kufufuka msalabani tu, na Muammad alisema hawezi kufanya miujiza, yoyote..All in all viashiria ndio vinavyotetea zaidi uwepo wa Mungu.

Kwa hiyo habari ya kuwepo kwa mungu ni imani tu.

Isiyo na tofauti na kuamini kuwapo kwa pembetatu duara katika Euclidean geometry?
 
Kwa hiyo habari ya kuwepo kwa mungu ni imani tu.Isiyo na tofauti na kuamini kuwapo kwa pembetatu duara katika Euclidean geometry?
Kwanza ufahamu Imani sio kitu kibaya.. Kwani ndio kinachotengeneza neno ethics. Nikupe mfano..kwenye maofisi kuna wafanyakazi wanaheshimu na kutii sheria-Sio kwasababu kuna supervisions ya kutosha ama kuna Carrot &Sticks, bali ni kwasababu wanayo ethics. ethics ni kile walichokitoa kwa wazazi wao na jamii kinacho wawezesha wao kupambanua na kuona jambo fulani ni jema ama ni baya.Kila mwanadamu kwa malezi anayo Ethics inayompa uwezo wa kusema hichi ni fanyacho ni kiovu ama ni chema. Na hii haitegemei sheria za serikali wala dini bali ni ethics. kwani inamsaidia kupambanua mchele na chuya at thesame time

Uwepo wa Mungu ni Imani-- haitakuwa Imani ikiwa tu.. tutamwona Mungu dhahair. wakati fulani imani inatafsiriwa kama kuwa na hakika ya yale yatarajiwayo. Ukimjua huyu ni mungu -huna haja ya kuamini kwani yupo na umemwona. Ila ukiwa haujmwona basi njia iliyobaki ni kumwamini tu.
 
Kwanza ufahamu Imani sio kitu kibaya.. Kwani ndio kinachotengeneza neno ethics. Nikupe mfano..kwenye maofisi kuna wafanyakazi wanaheshimu na kutii sheria-Sio kwasababu kuna supervisions ya kutosha ama kuna Carrot &Stics, bali ni kwakuwa wanayo ethics. ethics ina-determine whta is write and what is wrong. Kila mwanadamu kwa malezi anayo Ethics inayompa uwezo wa kusema hichi ni fanyacho ni kiovu ama ni chema.
Uwepo wa Mungu ni Imani-- haitakuwa Imani ikiwa tu.. tutamwona Mungu dhahair. wakati fulani imani inatafsiriwa kama kuwa na hakika ya yale yatarajiwayo. Ukimjua huyu ni mungu -huna haja ya kuamini kwani yupo na umemwona. Ila ukiwa haujmwona basi njia iliyobaki ni kumwamini tu.

I talked about how faith is inevitable to any thinking person.

But you have not answered my question.

Kuna tofauti gani kimsingi kati ya kumuamini mungu wako na kuamini kwamba mungu ni mzee wa kichagga mwenye macho matatu anayeishi juu ya mlima Kilimanjaro?

"Imani ni kuwa na hakika na yale yatarajiwayo" is just snake oils salesmanship.

Ukiwa na hakika, hutarajii, unajua.

Ukitarajia, huna hakika, unatumaini na kuamini.

I hope you can discern the difference.

Nat
 
Kwanza ufahamu Imani sio kitu kibaya.. Kwani ndio kinachotengeneza neno ethics. Nikupe mfano..kwenye maofisi kuna wafanyakazi wanaheshimu na kutii sheria-Sio kwasababu kuna supervisions ya kutosha ama kuna Carrot &Sticks, bali ni kwasababu wanayo ethics. ethics ni kile walichokitoa kwa wazazi wao na jamii kinacho wawezesha wao kupambanua na kuona jambo fulani ni jema ama ni baya.Kila mwanadamu kwa malezi anayo Ethics inayompa uwezo wa kusema hichi ni fanyacho ni kiovu ama ni chema. Na hii haitegemei sheria za serikali wala dini bali ni ethics. kwani inamsaidia kupambanua mchele na chuya at thesame time

Uwepo wa Mungu ni Imani-- haitakuwa Imani ikiwa tu.. tutamwona Mungu dhahair. wakati fulani imani inatafsiriwa kama kuwa na hakika ya yale yatarajiwayo. Ukimjua huyu ni mungu -huna haja ya kuamini kwani yupo na umemwona. Ila ukiwa haujmwona basi njia iliyobaki ni kumwamini tu.

Well well said kaka!
 
I talked about how faith is inevitable to any thinking person.

But you have not answered my question.

Kuna tofauti gani kimsingi kati ya kumuamini mungu wako na kuamini kwamba mungu ni mzee wa kichagga mwenye macho matatu anayeishi juu ya mlima Kilimanjaro?

"Imani ni kuwa na hakika na yale yatarajiwayo" is just snake oils salesmanship.

Ukiwa na hakika, hutarajii, unajua.

Ukitarajia, huna hakika, unatumaini na kuamini.

I hope you can discern the difference.

Nat

DIABOLICAL FALLACIES and can not be supported impeccably. Junks 101
 
I talked about how faith is inevitable to any thinking person.But you have not answered my question.Kuna tofauti gani kimsingi kati ya kumuamini mungu wako na kuamini kwamba mungu ni mzee wa kichagga mwenye macho matatu anayeishi juu ya mlima Kilimanjaro?"Imani ni kuwa na hakika na yale yatarajiwayo" is just snake oils salesmanship.Ukiwa na hakika, hutarajii, unajua.Ukitarajia, huna hakika, unatumaini na kuamini.I hope you can discern the difference.Nat
Kwanza ufahamu jamii mbalimbali dunaini zina kwawaida ya kumtafsiri Mungu kutokana na maisha na hali z
ao. Muslims wanafanya hivyo, Jews wanafanya hivyo Christians wanafanya hivyo. Lakini ukifanya collective understanding -both hawatamkubali Mungu huyo.
Nachoweza kusema Kuamini aina ya Mungu na kutoa sifa zake, hii inategemea na social understanding, norms, customs, Traditions...kwani kuna wakati Mungu tunayemwamini ni yule tunyaemuumba sisi wenyewe...
Kumbuka uhakika unaotegemea Imani ni uhakika wenye mapungufu. Kwani hauna uwezo wakuthibitisha katika form nyingine...Lakini uhakika unaotegemea logic ndio uhakika wakweli
 
Nishaondoka kwenye uhakika.

Nimekuuliza tofauti ya kimsingi kati ya mungu wako na mungu huyu wa kufikirika niliyemsema anakaa juu ya mlima Kilimanjaro ni nini?

Hujanijibu.
 
If you are not going to specify what is too low, why is it too low, how is it too low, by which benchmark, using what kind of yardstick on what framework, from which jurisprudence, and which cosmogony, your post will be even lower.
 
Last edited by a moderator:
The problem is on your opinions and not the infallible word. For example, I know that my child will choose to eat chocolate cake over a bowl full of stinking and smelling dead rats. Here is the logic: If I were to set them both before my child, it is safe to say she will not eat the dead mice. Knowing this is not taking away the freedom of my child since she is freely choosing one over the other. Likewise, for God to know what a person will choose does not mean that the person has no freedom to make the choice. It simply means that God knows what the person will choose.

Sawa Ndugu Ishmael.

Hii ndio ilikuwa mada, sasa wale jamaa wamesha ipindisha kama ilivyo tabia ya asie fahamu mada maana yake nini.

Natemea watarudi nyuma na kuangalia mada ilkuwa inahusu nini.
 
Last edited by a moderator:
Nishaondoka kwenye uhakika.Nimekuuliza tofauti ya kimsingi kati ya mungu wako na mungu huyu wa kufikirika niliyemsema anakaa juu ya mlima Kilimanjaro ni nini?Hujanijibu.
Naweza kusema Mungu aliyepo Mlima kilimanjaro anazo tofauti nyingi sana na Mungu huyu tunayemwamini: kwa uchache ni kwamba hayuko influential na pia hana bargaining power kama yule aliyeanzia middle east. Ndio sababu hata Majina yetu ya asili tunayabadili na kufuata yale ya mashariki ya kati, pia ukichunguza collectively understanding na ceremonies utaona kwamba tunajivunia yule aliyeasisiwa na watu wa middle east.Japo kwa kiasi fulani tunamwi-institutionalise ili aweze kufiti na hali zetu za huku milimani. kwa kitaalam wanaita harmonization. Pia Mungu wa milimani hafanani namna na mbinu za kumwabudu na yule wa mashariki ya kati. Ni rahisi kupata mwongozo(bible or something..) kutoka midoIsti lakini it is none or even rare case kupata kitu kama hicho kutoka kwa Mungu wa Milimani.

In most cases:
People's beliefs have got nothing to do with truth and conviction. People's beliefs are social, political and economic constructs that change as soon as the social, political and economic conditions change. It's easy to be a Christian if everyone else is a Christian. But when everyone else changes to some other religion then remaining a Christian is immensely problematic, and few have the strength to hold out.
 
Naweza kusema Mungu aliyepo Mlima kilimanjaro hayuko influential na pia hana bargaining power kama yule aliyeanzia middle east. Ndio sababu hata Majina yetu ya asili tunayabadili na kufuata yale ya mashariki ya kati, pia ukichunguza collectively understanding na ceremonies utaona kwamba tunajivunia yule aliyeasisiwa na watu wa middle east.Japo kwa kiasi fulani tunamwi-institutionalise ili aweze kufiti na hali zetu za huku milimani. kwa kitaalam wanaita harmonization. Pia Mungu wa milimani hafanani namna na mbinu za kumwabudu na yule wa mashariki ya kati. Ni rahisi kupata mwongozo(bible or something..) kutoka midoIsti lakini it is none or even rare case kupata kitu kama hicho kutoka kwa Mungu wa Milimani.

Kama huyo mungu wa middle east yuko influential hivyo mbona kashindwa kunishawishi mimi kumiamini?
 
Hakuna chochote ambacho hakipo ambacho yeyote anaweza ku prove kwamba hakipo.

Kwa sababu hakipo ili kiwe proved kwamba hakipo.
This is assertion worth of proof by itself. Kiranga are you dumb in any other area?
 
Last edited by a moderator:
Kama huyo mungu wa middle east yuko influential hivyo mbona kashindwa kunishawishi mimi kumiamini?
siwezi kuamini kamaMungu kashindwa..as far as my faith kwamba Mungu Aweza yote. Imani yangu inanieleza unabii kuwa itatokea wakwanza kuwa wamwisho na wamwisho kuwa wakwanza. ikiwa na maana wale waliookoka mwanzo wanaweza kuachwa na wale wanaokuja kuokoka baadaye na kumkiri yesu wakaenda mbinguni?. let me guess Inawezekana wewe ni wa Mwisho hivyo..i hope your time is yet to come.
ndio maana yesu alisema yaacheni magugu yaote na ngano-msije mkang'oa magugu na kujikuta mnaondoa na ngano, yawezekana wewe ni ngano ila umebanwa na magugu kwa sasa .Ila siku ipo utamkiri mungu. na mwisho utakuja kuvunwa kama ngano halisi.

NB: cha msingi hakuna anayeamwamini Yesu kwa nguvu zake:neither you are.
 
Back
Top Bottom